Badala ya kukomaa na historia ya mababu zenu mnakomaa na historia ya mababu wa huko mbali ambapo hata hawawapendi, yaani nasikitika sana kutokujua jina la Babu wa Babu yangu back to almost year 1800 wakati likija suala la Israel n the neighbors mtu unamsoma aliyeishi miaka 2000 iliyopita, naumia sana basi tuhili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je niwapi wanaomfata?
Maviiiii
Mungu akupe uvumilivu na ustarabu na kesho Akhera uwepo daraja la juu kwa ustarabu wa jibu lako, Waisilamu siku zote ni wavumilivu na wastarabu sababu wana hofu ya muumba waoHatukuja hapa kutukanana, rekebisha lugha yako.
Hii ni mijadala yenye faida kwa wengi, huna sababu ya kuwa na lugha za kuudhi.
Nje ya Quran huwezi kuupata uislamu Kama diniEndelea kujifurahisha.
Umemaliza mkuuuKuna kitu huwa tunashindwa kuelewa kuhusu dini, maranyingi Wakristo wamekuwa wakiwakebehi Waislam wasemapo kwamba manabii ama mitume fulani waliokuwepo miaka mingi nyuma kabla ya Uislam ni Waislam. Hamtakiwi kukebehi kuhusu hili maana ndio imani yao na vitabu vyao vimeandika hivi.
Kinachofurahisha Wakristo wao hujiona wako sahihi kusema Manabii hao wlikuwa upande wao wakati Ukristo umekuja baadae sana.
Iko hivi: Wayahudi wanaamini maandiko yao matakatifu (Torah). Wakristo wameandika katika biblia yao takatifu kuhusu Moses na maandiko yake lakini hii haiwezi kuwashawishi Wayahudi waamini kwamba Ukristo ulikuwepo tangu kipindi cha Musa. Vivyo hivyo kwa Waislam, Quran imeandika kuhusu Musa na hata Yesu lakini hiyo haitawafanya Wakristo waamini kwamba Uislam ulikuwepo kabla ya Yesu.
Mkijua hili wala hakuna haja ya kumsema mwenzako wakati hata wewe umefata mfumo huo huo. Wakristo wanaamini Wayahudi walimkataa Yesu na walijutia kwa hilo baada ya kumuua lakini ukweli hadi leo hii Wayahudi hawamuamini Yesu kama messiah. Waislam wanaamini Muhammad ni muendelezo wa mpango wa Mungu kuwaleta wasaidizi wake kueleza utukufu wake lakini Wakristo hawaamini katika hilo.
Anayewaita wenzake wafia dini yeye keshaoza katika dini yake[emoji23]
Hiyo aya kwanini imesema ibrahimu hakuwa myahudi wala mkristo bali muislamu,? iluandikwa na nani? Kipindi gani?Endelea kujifurahisha.
Dini ni itikadi kwa mtazamo wako wewe/nyie, wengine wanamitazamo tofauti kuhusu dini kuanzia wahindu , wabudha nk, siyo ohms law kusema always V=iRWEWE NDIO YALE MAJITU MWALIM ANAFUNDISHA DARASANI POINT MUHIMU HAYAZINGATII...
NIMEKWAMBIA...DINI NI ITIKADI...ITIKADI YA DINI YA KIKRISTO NI NINI? JE ITIKADI HIYO ALIKUWA NAYO IBRAAHIIM...? KAMA ALIKUWA NA ITIKADI KAMA WAKRISTO HIVI LEO...BASI IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...
Sasa uliwahi kumuona Ibrahim mkristo?WALE JAMAA WAFUGA NDEVU, WAVAA KOBAZI WANAKUAMBIA ALIKUWA MUISLAMU WAKATI UISLAM UMEANZISHWA NA MUDY KARNE YA SABA.
Maana ya neno la kiarabu ISLAM ni mnyenyekevu kwa kiswahili......, Hii aya inamzungumzia Ibrahimu kama muongofu na mnyenyekevu mbele za Mungu ila sio Muislam kwa maana ya Dini
Qur'an 3:67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. 67
Kwanza hakuna kitabu cha Mungu kinachoitwa Biblia.Tuanze na yeye mwenye kitabu chake biblia...wapi IBRAAHIM ALIAMINI KATIKA UTATU MTAKATIFU, WAPI IBRAAHIIM ALIAMINI KATIKA YESU KUWA MWANA WA MUNGU NA NI MUNGU...BASI KAMA HAITOSHI LETA ANDIKO KWENYE BIBLIA LINALOSEMA IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...
Tutawapa andiko kwenye Quran linalosema IBRAAHIM ALIKUWA MUISLAAM NA ALITAMKA MWENYEWE...NA ALIMUOMBA MUNGU WAKE AWE MUISLAAM...
Na anakuwaje Mkristo wakati UKRISTO haukuwepo? Wewe ni zee jinga
upotoshajiWapi nimesema alikuwa mkristo? Usiende kama ling’ombe. Yesu mwenyewe hakuwa mkristo sasa waliomtangulia wanakuaje wakristo? Only mpumbavu atafikiria kama unavyofikiria wewe
Ulikuwepo:We ni moja ya yale majitu tunaita makubwa jinga. Sasa anakuaje muislamu wakati uislamu haukuwepo?