Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

KWANINI WAISLAMU NIKIWAOMBEA KWA JINA LA YESU PEPO TOKA KWELI MAPEPO YANAWATOKA WAKATI HUWEZI KUTOA PEPO KWA JINA LA MTUME AU NABII ISIPOKUWA MUNGU ....
Na wewe unaamini kuna mapepo? Kama wewe mkristo wa kweli kwanini uwe na mapepo?
 
Dini ni njia ambayo mtu anaweza kuamua kupita ili akutane na Mungu anaye mwamini.

Baati mbaya Sana waumini wengi wa dini hawalijui Jambo Hilo. Wengi utumia dini Kama utambulisho Jambo ambalo linapoteza kabisa maana na kusudi la kuwepo na dini.

Haipasi kutumia dini Kama utambulisho wako mfano. Kusema "Mimi ni muislam", "Mimi ni mkristo au msabato".

Kujitambulisha au kujitambua kwa namna hiyo linapoteza maana halisi ya neno DINI na ukishapoteza maana tu Basi utaishi nje na kusudi lake yaani kumtafuta MUNGU. utakuwa nisawa umefanya kazi bure hata Kama unajua maandiko au unaipenda dini yako kiasi gani zaidi tu utakuwa unafanya Mambo kinyume na MUNGU WAKO.

mfano: Kujitambua au kujitambulisha kwamba wewe ni muislam kutakuwanya uwaone wake wasiyo waislam ni wakosefu na wanapotea teyari inakujengea tabia ya kujitenga au kuwahumu wengine kitu ambacho ni kinyume na upendo na ukumbuke Mungu ni mwenye upendo hivyo kuwa kinyume na upendo ni kuwa kinyume na Mungu.

Nini kifanyike?
Waumini wa dini mbalimbali wanapaswa kujua kwamba DINI siyo mwisho Bali ni njia tu unayo kuongoza kufika kwenye ukamilifu yaani KWA MUNGU UNAYEMUANI.

UISLAM (islam) ni neno la kiarabu ambalo maana yake ni Unyenyekevu =>kwaivo badala ya kusema Mimi ni Muislam SEMA "MIMI NIMECHAGUA NJIA YA UNYENYEKEVU KUMTAFUTA MUNGU NINAYE MWAMINI ".

UKRISTO (Christianity) umetokana na neno Kristo(christ) lenye maana na mpakwa mafuta wa bwana kwaajiri ya kazi ya Mungu(kupakwa mafuta kunamaanisha kupandishwa ufahamu kutoka ufahamu wa kibinadamu Hadi ule wakimungu kwaajiri ya kufanya kazi ya Mungu duniani)

KWAIVO UKRISTO ni Kuishi kwa kufata mifano ya yule aliyepakwa mafuta na Mungu yaani(kristo) mfano: kuwapenda maadui zako na kuwaombea wanaokuudhi,
Kuwajali kuwathamini walio tengwa na jamii (wadhambi), kuwahurumia na kuwafutia watu makosa yao kwa msamaha.

=> kwaivo usiseme "MIMI NI MKRISTO" Bali sema "MIMI NATUMIA NJIA UCHRISTO KUMTAFUTA MUNGU"

UYAHUDI (JUDISIM) Hii ni jia ya kumtafuta mungu kwa kufata Sheria na kanuni za asili. Wenyewe wanaziita Torah. Mfano usiibe, usiuwe usiseme uongo, waheshimu wazazi wako na zingine nyingi zenye lengo la kukufanya uwe mtu mwema.

Sasa MTU ASISEMA YEYE NI MYAHUDI BALI ASEME =>"ANATUMIA NJIA YA KUFATA SHERIA ZA ASILI KUMTAFUTA MUNGU WAKE ANAYEMUAMINI"

BUDISM na HINDUISM hizi zinafanana kwa kiasi kitubwa tofauti zao kubwa ni majina tu. Zote zinahusiana kumtafuta Mungu kwa njia wa umojoa(upendo). Hazitofauti Sana na UKRISTO.

Katika Jia hizi unapaswa kumuona kila kitu kuwa kimeunganisha na wewe yaani kila kinacho onekana kimetoka maala pamoja. Kuweza kuona mateso anayo yapitia mwenzako kuwa ni yako au furaha anayopitia mwenzako kuwa ni furaha yako yaani katika DINI hizi hapaswi kufurahia mateso ya kiumbe kingine iwe mmea mtu mdudu, mnyama au kiume chochote kinacho onekana na jisicho onekana maana viumbe vyote vinastahili upendo kwani viliumbwa kwa upendo.

Sasa MTU ASISEME MIMI NI MBUDHA AU MUHINDU BALI ASEME ANATUMIA NJIA YA UMOJA(ONENESS). KUMUONA MUNGU.

MWISHO NISEME SISI NI KITU KIMOJA NA KILA MMOJA AHA HAKI NA UHURU WA KUCHAGUA NJIA ANAYOAMINI ITAMUWEZESHA KUFIKA KWA MUNGU.
KAMA WEWE UMECHAGUA UISLAM BASI WAPE NAFASI WENGINE UHURU WA KUCHAGUA NJIA WANAZOZITAKA KWA MAANA ZOTE PAMOJA NA KUWA ZINAONEKANA KUWA NI TOFAUTI KWA MAJINA LAKI MANTI NA KUSUDI LA ZOTE NI MOJA (YAANI KUMUONA MUNGU).

KWAIVO TUSIDHARAULIANE, TUSISHAMBULIANE, TUSIBISHANE, WALA KUHUKUMIANA NA KUPIGANA VITA KWAAJIRI YA DINI ZETU KUFANYA HIVYO TUNAIFANYA DINI KUWA MTENGO WA KUTUNASA TUSIFIKE KWAMUNGU TUNAYEMWENDEA.
 
Ukweli ni kwamba Uislam ulianzishwa na Nabii Muhammad mwaka 622 BK huko Arabia. Kabla yake, dini zilizokuwepo zilikuwa ni Uyuda ambayo ni dini rasmi ya Wayahudi (Judaism) na Ukristo ambayo ni dini ya mataifa wasio Wayahudi ulioanza miaka kadhaa baada ya Yesu kuwa ameondoka mwaka 33BK
Mambo ya Mungu ujibiwa na Mungu.
Weka ushahidi toka kwa Mungu unaothibitisha dai lako.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo aya kwanini imesema ibrahimu hakuwa myahudi wala mkristo bali muislamu,? iluandikwa na nani? Kipindi gani?

Maana hiyo aya imeelezea kuhusu ukristo, na ukristo ulikuja karne baada ya Yesu wala haukuwepo wakati wa Ibrahimu, sasa wapi ibrahimu mwenyewe aliutaja kuwa yeye alikua Muislam?

Nb: hakua pia mkristo
Aliye muumba Ibrahim ndiye aliyesema alikuwa Muislamu.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Historia ya biblia inarudi nyuma maximum 6000yrs, yaani kwenye uumbaji.

Lakini kulikuwa na jamii nyingine zinaishi, older than 6000yrs, na maandiko mengine ya zamani zaidi kuliko ya Wayahudi kutoka kwenye jamii za Mashariki (mostly India).

At the moment naelewa zaidi mafundisho/understanding yao, their description of God and life kuliku hizi Abrahamic religions.
Biblia imeundwa lini kwani?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana tunasema hiki kitabu kina contradictions. Hao waislamu kabla ya mudi walikuwa wanamrefer mnyaazi na mudi pia kwenye shahada ya kwanza kama ambao walianza kufanya baada ya mudi kuja?
Nilishajibu hapa,

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
KWANINI WAISLAMU NIKIWAOMBEA KWA JINA LA YESU PEPO TOKA KWELI MAPEPO YANAWATOKA WAKATI HUWEZI KUTOA PEPO KWA JINA LA MTUME AU NABII ISIPOKUWA MUNGU ....
Sababu hayo ni mazingaombwe na viini macho kwa wasiyo na imani thabiti,

Matayo 7:22-23
22Siku ile itakapofika wengi wata niambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?’23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’

Mathayo 24:24
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mathayo 1:1
[1]
Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu.
The book of the generation of Jesus Christ, the son of David, the son of Abraham.
 
Back
Top Bottom