Baba wa watoto wangu watatu (kila mmoja na babake) wote wanataka kufunga ndoa na mimi

Hii story kali sana either ya kutunga auya mtu mwingine ila sio yakwako ninavyo kufahamu. Funga naye ndoa hongera ila afahamu tu kuwa kila mtoto atakuwa na tabia yake kutoka vizazi vya baba zao awe tayari kuwa mvumilivu kwa lolote atakalo liona asiwe na hasira aone kawaida na awe tayari kuwashauri, kuwa karibu nao na kuwaonyesha upendo kama baba mlezi. wasije wakamkera sana ikawa chanzo cha yeye kutaka kukuacha maana sio rahisi azipende tabia za wote wawili ambao sio damu yake, mwingine aliamua kuwapeleka boarding walipo maliza alikutana na tabia zile zile ni afadhali angekuwa nao tu karibu ili nao wamzoee baba wajue baba molezi hataki hiki na kile, Je hao watoto 2 utawaambia ukweli kuwa huyo sio biological father au utawaficha . Kila la kheri.
 
Kama father wa mwsho analijua hilo kuwa una watoto 2 tayar na kla mtu na baba ake basi nenda kwake

Huyo wa 2 na 1 wakijua una wa3 kwa mtu mwengne watatumia hio kama fimbo kukuadhibu huku baadae
 
Kumbuka kulea ni swala la muda tu na wakipata malezi mema kila mtu atakua na maisha yake na Mimi mita ski na mume wangu.
 
Unatania au ni kweli? Huo mwili wako una watoto watatu? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] hata mtoto mmoja siamini.

Kama ni kweli hongera sana sijui ni mazoezi, genes au vyote.
Hii ni chai. Anafurahisha genge tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
piga chini wote wewe ni mtafutaji tafuta baba nne na tano, ukifika sita na saba utakuwa umechoka ndipo wakuoe wote ....
 
Jf mnawaogopa wale maarufu humu?:hivi angeleta mtu mwingine na huu uzi si tungekuwa tunasoma tusi la 887 sasa hivi. Nilitegemea nikute maneno kama

Malaya

Tapeli

Huna mapenzi ya kweli

Ho umezalishwa

Hoo singel mother

Mara kahaba

Vipi leo hamtukani au munamwogopa sky
 
Wajua MAJUTO ya kuoa SINGLE MOTHER?

#YNWA
 
Umeyatoa wewe inatosha, umefurahi?

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…