Baba wa watoto wangu watatu (kila mmoja na babake) wote wanataka kufunga ndoa na mimi

Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano.

Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa msaada mkubwa kwangu. Alisaidia hata ada ya shule ya mtoto mkubwa. Huyu bwana alipata matatizo kazini na alifungwa

Mtoto wa tatu nimemzaa na jirani yangu. Huyu kaka ndiyo kwanza alikuwa amehamia mkoa huu. Mimi nikiwa mtu wa karibu nilimsikiliza chakula na kumfahamisha mij. Nilipopata ujauzito aliamua kunifahamisha kwa ndugu zake

Baba Tatu anataka kunioa na mipango ya mahari imekamilika. Baba Mosi na baba Pili wote wamerudi na kila mtu anataka kuanzisha familia na mimi
Tafuta mwenye hela kati ya hao 3 si ndio mnachopenda.
 
Hapa nikionacho, kwa yeyote atakayekuoa, BASI UTACHEPUKA NA WALIOBAKI... We olewa na unayempenda sana... Ila jua kuwa viporo utavipasha tu...
 
Back
Top Bottom