Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,178
- 3,865
Wala mi sijawahi tukana humu. Ila nilikuwa nawakumbusha tu wasiwe na dable standard katika kutoa ushauri. Wanawake wote waliowahi kuleta uzi hum tungewajibu kama sky bas ingekuwa vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala mi sijawahi tukana humu. Ila nilikuwa nawakumbusha tu wasiwe na dable standard katika kutoa ushauri. Wanawake wote waliowahi kuleta uzi hum tungewajibu kama sky bas ingekuwa vizuri
Ohoooo angalia moyo ulipolaliaMtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano.
Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa msaada mkubwa kwangu. Alisaidia hata ada ya shule ya mtoto mkubwa. Huyu bwana alipata matatizo kazini na alifungwa
Mtoto wa tatu nimemzaa na jirani yangu. Huyu kaka ndiyo kwanza alikuwa amehamia mkoa huu. Mimi nikiwa mtu wa karibu nilimsikiliza chakula na kumfahamisha mij. Nilipopata ujauzito aliamua kunifahamisha kwa ndugu zake
Baba Tatu anataka kunioa na mipango ya mahari imekamilika. Baba Mosi na baba Pili wote wamerudi na kila mtu anataka kuanzisha familia na mimi
Sky ni wewe au wamekudukua siamini kama ni kweli aisee utakuwa umeamua kutuchangamsha akili kwani wewe katika nafsi yako nani unamwona ndio atakuwa Alfa na Omega kwako kutuuliza sie ni kama unatuonea ujueTatizo kila baba anataka tumpate J4
Hapo kwenye hela uko serious na Mimi niigilizie huo ushauri?Una bahati ya mtende. Wenzio wanalia wanatafuta waoaji hawapati we umejikusanyia watatu?
Chukua mwenye hela kuwazidi wote. Hutajuta [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Igilizia ushauri huu. Hutajuta !!!HHapo kwenye hela uko serious na Mimi niigilizie huo ushauri?
Hahahaha funua vizuri niigilizie SasaIgilizia ushauri huu. Hutajuta !!!
Hujambo lakini?
Olewa na mwenye mtoto mdogoMtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano.
Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa msaada mkubwa kwangu. Alisaidia hata ada ya shule ya mtoto mkubwa. Huyu bwana alipata matatizo kazini na alifungwa
Mtoto wa tatu nimemzaa na jirani yangu. Huyu kaka ndiyo kwanza alikuwa amehamia mkoa huu. Mimi nikiwa mtu wa karibu nilimsikiliza chakula na kumfahamisha mij. Nilipopata ujauzito aliamua kunifahamisha kwa ndugu zake
Baba Tatu anataka kunioa na mipango ya mahari imekamilika. Baba Mosi na baba Pili wote wamerudi na kila mtu anataka kuanzisha familia na mimi
Hilo ndio swali la msingiKatika hao,baba mosi,baba pili na baba tatu nani unampenda zaidi?
Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano.
Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa msaada mkubwa kwangu. Alisaidia hata ada ya shule ya mtoto mkubwa. Huyu bwana alipata matatizo kazini na alifungwa
Mtoto wa tatu nimemzaa na jirani yangu. Huyu kaka ndiyo kwanza alikuwa amehamia mkoa huu. Mimi nikiwa mtu wa karibu nilimsikiliza chakula na kumfahamisha mij. Nilipopata ujauzito aliamua kunifahamisha kwa ndugu zake
Baba Tatu anataka kunioa na mipango ya mahari imekamilika. Baba Mosi na baba Pili wote wamerudi na kila mtu anataka kuanzisha familia na mimi
Mara nyingi watu wana ku treat vile wewe unavyojiweka. Ukijifanya mcharuko tutakucharukia na sisi. Ila ukiwa mstaarabu nasi tutaenda na wewe kistaarabu.Jf mnawaogopa wale maarufu humu?:hivi angeleta mtu mwingine na huu uzi si tungekuwa tunasoma tusi la 887 sasa hivi. Nilitegemea nikute maneno kama
Malaya
Tapeli
Huna mapenzi ya kweli
Ho umezalishwa
Hoo singel mother
Mara kahaba
Vipi leo hamtukani au munamwogopa sky
[emoji23]Ila kiukweli kabisa kuwa mwanaume Ni Raha kinoma, Embu fikiria kama usingekua Dem Muda huu ungekua unashikwa shikwa makalio na wahuni.
Kwa style hiyo hao jamaa wakilegeza tu kidogo unaweza kupata na baba nne na bado usijue nani wa kukuoa. Bora mmoja kati yao akuchukue mapema