Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao.

Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa kosa hilo.

PICHA: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti John Pambalu wakiwa kwenye kijiwe cha Kahawa wakitoa elimu ya Uraia kuhusu KATIBA MPYA.

POLICCM wanachefua,kila Mara na kila mahali wanawawinda CDM ili kuchelewesha harakati za kudai Katiba Mpya.Amen nawaambia,hawataweza kushinda nguvu ya umma.
Hawa POLISI wasipodhibitiwa wanaenda kumharibia Mh.Samoa big time kwenye masuala ya Tuzo ya Mo Ibrahim na pia mazungumzo ya Mama na wapinzani wake Wa kweli(CDM).
Tunataka Katiba Mpya na bora kwa ajili ya Tanzania ya watoto Wa Tanganyika na Zanzibar.
 
Kunawatu wanatamani waseme waliokamatwa ni amri ya Magufuli ila ndo kumbe yamefanywa na msanii flani ivi ambae anawalambisha watu pipi wanabakia kuimba nyimbo zake haha
Hahaha
 
Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao.

Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa kosa hilo.

PICHA: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti John Pambalu wakiwa kwenye kijiwe cha Kahawa wakitoa elimu ya Uraia kuhusu KATIBA MPYA.

mkusanyiko usiyohalali unawaje watalam wa sheria ufafanuzi tafadhali.
 
POLICCM wanachefua,kila Mara na kila mahali wanawawinda CDM ili kuchelewesha harakati za kudai Katiba Mpya.Amen nawaambia,hawataweza kushinda nguvu ya umma.
Hawa POLISI wasipodhibitiwa wanaenda kumharibia Mh.Samoa big time kwenye masuala ya Tuzo ya Mo Ibrahim na pia mazungumzo ya Mama na wapinzani wake Wa kweli(CDM).
Tunataka Katiba Mpya na bora kwa ajili ya Tanzania ya watoto Wa Tanganyika na Zanzibar.
Unafiki raia Chief Hangaya jhayajui haya?
 
Taarifa: Jeshi la Polisi limewakamata na kuwashikilia viongozi na wafuasi wa CHADEMA waliopanga kufanya fujo huko manyara wakidai ni kongamano la Katiba Mpya.

Viongozi hao wa BAVICHA Twaha Mwaipaya , John Pambalu na wenzao wako kizuizini kwa kuvunja Sheria za nchi.
 
Yaani Kijiwe Chochote Cha Kahawa Ama Ni Hawa Tu
Kwenye Kahawa Kumbe Mpaka Kibari
 
Taarifa: Jeshi la Polisi limewakamata na kuwashikilia viongozi na wafuasi wa CHADEMA waliopanga kufanya fujo huko manyara wakidai ni kongamano la Katiba Mpya.

Viongozi hao wa BAVICHA Twaha Mwaipaya , John Pambalu na wenzao wako kizuizini kwa kuvunja Sheria za nchi.
Mmerudi kivingine sio,mmeshachukizwa na maridhiano sio🚶
 
pamoja na mazungumzo yanaendelea lakini serikali inawaonyesha inaweza kuwafanya chochote,wakati wowote.
 
Wana D mbili tu za o'level ufahamu wao ni mdogo.

Tunaomba polisi wawe na division one. Watajitambua
 
Sikia acheni Kuwahamasisha watu kugomea SENSA. Afu acheni kuwafata watu kwenye kazi zaoo na badala yake fanyeni mikutano ya Hadhara ili watu waje na wasiopenda wasijee. Sio kufata watu kwenye kazi zao
 
Back
Top Bottom