POLICCM wanachefua,kila Mara na kila mahali wanawawinda CDM ili kuchelewesha harakati za kudai Katiba Mpya.Amen nawaambia,hawataweza kushinda nguvu ya umma.Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao.
Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa kosa hilo.
PICHA: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti John Pambalu wakiwa kwenye kijiwe cha Kahawa wakitoa elimu ya Uraia kuhusu KATIBA MPYA.
Hawa POLISI wasipodhibitiwa wanaenda kumharibia Mh.Samoa big time kwenye masuala ya Tuzo ya Mo Ibrahim na pia mazungumzo ya Mama na wapinzani wake Wa kweli(CDM).
Tunataka Katiba Mpya na bora kwa ajili ya Tanzania ya watoto Wa Tanganyika na Zanzibar.