Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Hahaa huyo mama ndiye kingungwe hapo wcb ...that's why waona ana power kubwa Sana.. Hiyo family kwa uchawi acha kabisa
Ila haya Mambo ya kafara huwa yanaishia pabaya, familia inatekea una Rudi zero square, Kuna mtu alikuwa tajiri wa kafara Ila vitu vilipobuma karudi maskini tupu
 
Naam alianza na wasanii kama ay Mr nice ...wote walikuwa ni mapunda wake ...Jamaa kachangia sana kuharibu nguvu kazi ya taifa
 
Naam alianza na wasanii kama ay Mr nice ...wote walikuwa ni mapunda wake ...Jamaa kachangia sana kuharibu nguvu kazi ya taifa
Hadi Ay alikuwa punda, hivi ni kwanini wasanii wanapenda upunda hivi
 
Haya madaraka jamani yatufanya tunakosa ubinadamu kiasi hicho
 
Kuna mtu pia katangaza nia jf ya kuingia moro mjini ila nikamuambia pia moro kwa abood sio jimbo ila ni business empire kiasi flani. Misaada anayoitoa pia sio rahisi kumtoa pale labda Mungu amsaidie sana
 
Ndio maana kuna mtu mzima alinambia kila ndoa ni kama kaburi, hata nje lipendeze vipi ila mifupa iliyopo ndani wanaijua maiti tu. Aseee
Hahaahaa alikuwa sahihi100%
 
Kweli huyu jamaa since 2015 Kuna Uzi humu, angetulia kidogo kwanza kuepusha maneno ya waja, hafu morogoro mjini Kuna abood pale kumtoa kazi si ndogo.
Ubunge utateketeza wengi
Haswaa pale si parahisi ni PAGUMUUUUU kama Ngamia kwenye tundu la sindano na yule inabidi mambo ya kupuliza yawe level za PHD hivihivi yatamkuta Mambo ni SWALA LA MUDA ....
 
Haswaa pale si parahisi ni PAGUMUUUUU kama Ngamia kwenye tundu la sindano na yule inabidi mambo ya kupuliza yawe level za PHD hivihivi yatamkuta Mambo ni SWALA LA MUDA ....
Pagumu kweli huyo Abood labda akatwe juu kwa juu na kamati ya chama hivi hivi si kazi Rahisi kwa kweli
 
Watu wanatangaza Nia hata Kama anajua hashindi ili akubumbukwe hata UDC na udas
Duuhhh kweli hata uwe competent vipi ila kama huna referee au kujua mchezo unachezwaje kupata ni ngumu..
so hapo unaanza huko chini kumbe target ni 2025 uingie mjengoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…