Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

Nimetafakari post yake naona tozo iendelee mpaka akili zirudi. Kizaz cha kijinga sana. Na huyo mtaani kwao unakuta ni kiongoz
Ni kweli kabisa tatizo ni kubwa sana kwa vijana wa aina hii...
 
Madhara ya kuwapeleka waganga WA kienyeji bungeni
 
Na huyu ndio picha halisi ya wengi wa wabunge wa CCM kila akiongea ni mambo ambayo anapaswa kuongea mvuta mjani.
 
ONA SASA WABUNGE WETU, JAMANI HIVI TUNAWAZA KWELI AU TUNAWAZUA, = KUWAZUA NI KUWAZA YALE YALIYOKWISHA WAZWA WEWE UNAONA NI WAZO JIPYA KUMBE BUREE KABISA. (tafisiri isiyo rasimi)
 
kila rais ajaye atengenezewe hela yenye sura yake hivyo Tz kila miaka 10 kutakuwa hela mpya
 
Kwani uongo! Rejea hotuba za Samia mwenyewe.
kwamba jinsia yake ndiyo imemuwezesha kuwa rais? like seriously? kichwa chako ni kizima kweli wewe au hujui uzito wa kauli hiyo?
 
Kabla ya yote tuanze na aliyeweka kigezo cha "STANDARD 7 FAILURE "awe mtunga SERA za nchi inayotaka kwenda UCHUMI WA JUU duniani...
 
"......MTU AKIKUSHAURI JAMBO LA KIPUMBAVU, AKIJUWA KUWA NI JAMBO LA KIPUMBAVU, NA AKIJUA KUWA WEWE ANAYEKUSHAURI SIO MPUMBAVU, HALAFU UKALIKUBALI,......ANAKUDHARAU.......". - Mwl. Julius Kambarage Nyerere - Mbeya, 1995.
 
uchumi nidhaifu, korona imetutwanga, tunamiradi mikubwa inasuasua, shulezetu ni duni, hospitali, Barabara, umeme, maji bado shida alafu hayawani mmoja anatuletea mawazo ya kipuuzi yakutugharimu fedha zetu nyingi tulipazo Kodi. Yote kisa kujipendekeza kwake puu mbavu sana jinga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…