Tofautisha gari na mwili wa mtu,ndo maana anatumia gari ili apate mwili wa mtu fulani ila hawezi kutumia mwili wake kupata gariMahusiano sio ajira mabinti mjifunze hilo. Wewe ukisema baby una gari zuri unakuwa umechangia bei gani au mauno?
Unamzalia au unazaa, tukiweka mbali hizi traditions za kuona mtoto hususani wa kiume kama muendeleza ukoo wa mwanaumeKumzalia
Nataka sex ili niburudike tu, nasio kwamba unafaa kua mke, Huwa wanaume wengi hatupimi vigezo vya mke kupitia sex tu, hio ni percent ndogo Sana.Kwa nini unataka sex na ndo hatufunga ndoa,lengo lako ni nini?
Kwa mwanamke anayejielewa ilo sio swali gumu hata kidogo. Yani leo hii mtu akuulize majukumu yako ni yapi kwenye mahusiano/familia yako then useme ilo ni swali gumu? Ukiona umeshindwa kulijibu ilo swali kwa majibu yenye mashiko then tambua bado upo kwenye phase ya kuliwa na kumove on, muda wako wa kusettle bado.Nawe mkuu why una muuliza mtoa mada maswali magumu magumu 🤨
😁😁 shukrani miss, ngoja tuendelee kuelekezana humuUnatema madini! Nipo hapa kuchukua notes
Sijawahi sifiaga nikikusifia tu ujue naenda kukulaAcha kusifia sasa bora ukae kimya utunziwe
Oooh kwa hiyo ni transaction inabd alipie kupata mwili wako. Umesomeka. Muwe mnasema mapema bei sasa sio usubiri service ushatoa halafu ndio unataka mapatanoTofautisha gari na mwili wa mtu,ndo maana anatumia gari ili apate mwili wa mtu fulani ila hawezi kutumia mwili wake kupata gari
Lengo la mahusiano ni kuzaa, wanaume ni watu wa kushangaza kweli,wewe unataka tusex ili iweje na huku ukijua fika kuwa matokeo ya sex ni kuzaaKwahiyo kila Mwanaume unayekutana nae na akakutaka hua upo tayari kumzalia tu? utazaa watoto wangapi? au una lengo la kuja kuanzisha Kijiji chako cha watoto mchanganyiko?
Ko unataka nikuzalie mtoto at the same time nijilishe,nijipendezeshe,ko kazi yako tia mimba baba usepe🤣🤣🤣🤣Ongezeko la single mothers, wengi upeleka lawama kwa wanaume kwamba ndio chanzo Cha tatizo, ila kwa kupitia mtoa mada, inaonesha wazi tatizo lilipo.
Sasa kama mwanamke aliyekamaa akili anaamini jukumu lake kwenye mahusiano ni kuzaa, no wonder why idadi ya single parents inaongezeka. Maana akishazaa, anaamini amemaliza majukumu yake.
Safari bado ni ndefu kuliko ilivyofikiriwa.
Inaonekana umetawaliwa sana na Materialistic na sio humanity,Tofautisha gari na mwili wa mtu,ndo maana anatumia gari ili apate mwili wa mtu fulani,
😁😁Mahusiano sio ajira mabinti mjifunze hilo. Wewe ukisema baby una gari zuri unakuwa umechangia bei gani au mauno?
NA WEWE ULIMFATIA NINI NA HAJACHANGIA KUPENDEZA KWAKO NENDA KWA HUYO ALIYEKUPENDEZESHA🤣🤣🏃🏽♂️( samahani nimekufokea ni akili za kisungura🙏🏼)Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
🤣🤣🤣🤣Hii wiki wanaume wa humu wanapitiwa na vimbunga hadi sio poa.....
Ngoja watoke church make wengi ni waimba kwaya.
Kwani wewe sex hufurahii?Wajibu wako kwangu ni nini sex tu basi kwa sababu najilisha na kujipendezesha,msipende mitelemko
Hebu tufanye jambo moja, ondoa sex kwenye mahusiano yako. Ni kitu gani unahisi kitamfanya mwanaume wako aendelee kukuhitaji?Ko unataka nikuzalie mtoto at the same time nijilishe,nijipendezeshe,ko kazi yako tia mimba baba usepe🤣🤣🤣🤣
Utasikia mbona hunisifiii kama nimependeza?Wanawake wanapendeza ili wasifiwe, usipomsifia pia ni vita.