Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Mbona kama mlemavu wa akili wewe? Yaani ulitaka TBL au TCC wakuachie ngapi? Labda umezaliwa after 1990 wewe.Yanafanya vizuri lakini hao wawekezaji wanachukua sehemu kubwa ya faida wanayopata na kupeleka kwao. Na si kwamba wanachukua Tsh, wanachukua dola. Yaani humu wanafanya biashara kwa Tsh lakini wanapopeleka faida kwao wanaondoka na dola. Akiba yetu ya dola inapungua huku thamani ya pesa yetu ikizidi kuporomoka.
Nikupe mfano mmoja hapa wa TBL wakati ikiwa chini ya Serikali na wakati ikiwa chini ya inBev/ SABMILLER. Wakati ikiwa chini ya Serikali haijawahi kutoa gawio, ilikuwa inalipa kodi kidogo kwa kuwa uzalishaji ulikuwa mdogo n vilevile bidhaa zilikuwa chache kwenye soko hivyo kuleta ajira kidogo.
Ikiwa chini YA SABMILLER/ inBev kila mwaka Serikali inapata gawio kubwa, kodi kubwa na imesabisha ajira kwenye mnyororo wa thamani