Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!



Kwani ilikuwepo agenda ya kufanya hivyo kati miongoni mwa agenda ambazo ziliandaliwa kwaajili ya huo mkutano Mkuu ??
 
Ulipoandika "zitakuwa" tu umeonesha umeandika kitu usichokijua.

Umesoma hizo katiba?
Logic iko hivi kama Katiba ipo vizuri ni kwa namna gani mtu yeyote atakuwa na ujasiri wa kuivunja ??!
Ukiona inavunjwa ni kwa sababu Katiba yote haipo sawa !
Na ndio maana hata Nyerere alipata kuonya kwamba kwa Katiba hii siku mkimpata mwenye kujua kung’ata sawasawa mtajuta !

Ina maana hata yeye alikuwa ana wasiwasi na hiyo Katiba kwamba itakuja kusumbua huko mbele ya safari !
Ila kwa sababu inatupendelea sisi wa Chamani kwetu tunaiona iendelee hiyo hiyo ila inapotokea na sisi tukang’atwa ndipo tunapoanza kulalamikia kichini chini huku tukiogopa kutoa sauti !!
 
Hiyo unayoiita logic yako haina logic.

Kwani katiba ikiwa nzuri ndiyo lazima ifuatwe?

Kikwete kaivunja katiba ya CCM. Hutaki?
 
Hiyo unayoiita logic yako haina logic.

Kwani katiba ikiwa nzuri ndiyo lazima ifuatwe?

Kikwete kaivunja katiba ya CCM. Hutaki?
Kaivunja Katiba ya CCM kwa niaba ya Mwenyekiti !
Sasa shughuli pevu inakuja huyo Mwenyekiti ndio huyo huyo Mkuu wa Nchi !
Na Katiba ya Nchi imemkasimisha madaraka makubwa kweli kweli ambayo kila mtu anaogopa ataanzia wapi kuhoji uvunjwaji wa Katiba 😅😂
!!
 
Kwa hiyo unataka kusema watu wenye utamaduni wa kutoheshimu katiba, wakiwa na katiba nzuri, hawataivunja?
 
Kwa sasa taifa halina vijana makini. Vijana tuliokuwa nao ni aina ya Lucas Mitishamba…chochote atakachofanya kiongozi kwao ni sawa . They say give them sweets, take them gold
 
That is right . Samia is just a continuation of JPM. CHADEMA imedhihirisha kuwa CCM ndio chama kisichokuwa na misingi ya demokrasia. Samia ameingia tamaa ya madaraka na huu ni ugonjwa kama wa ngozi……. Ukiumwa ugonjwa wa Ngozi kupona ni ngumu sana. Utatumia creams na corticoïdes za kutosha…. But the more you use the more unaharibu collagene na texture ya ngozi yako…..

As for CHADEMA , we need Little push kumtoa chura kwenye matope yake
 
Bashungwa hajawai kua mtendaji ? Unajisikiliza kweli?
Ametenda nini kwenye Wizara alizopita ? Moja ya mawaziri mizigo …… that is the one

I wonder anapataje hizo post

Hana competency
 
Mama anapaswa kupigwa CHINI immediately ; Hana performance na anaipeleka nchi the worst part ……hana performance na hatoweza kuwa na performance…….kwa sasa kinachoendelea ni Ameingia tu tamaa ya madaraka na Asali ya state ni multivitamins tamu snaa.

Nyuma yake timu msoga wanajambo lao ku

mtaelewa kwanini yule mpare, balozi na wenzie walikuwa against cdf
 
Chama kimeshagawanyika kama ilivyokuwa kwa JPM

That is the best part
 
Lakini Katiba haijawakataza kufanya yale wayafanyayo ! Right ?
Je tatizo lipo kwa hao wakubwa au lipo kwa sababu Katiba haijazuwia watu kujifanya ma-King makers ??!
Ni kweli, lakini pia katiba haijawapa mamlaka wanayotumia . Nadhani tatizo si Katiba, tatizo ni moja, ukiwa Mwanachama wa CCM kuna mambo unayotakiwa kufanya.
Kwanza, kuacha weledi wako, pili, kutotumia akili na tatu kuwa mnyonge.

Fikiria hivi, CCM kuna Vijana Wasomi ! hili wanaliruhusu vipi litokee!
Ukitaka kujua Vijana CCM ni ndondocha ni pale waanapokubali kuongozwa na Mzee wa miaka 80 , na Mzee huyo anasimama katika jukwaa chini kuna Vijana wa CCM akiwahutubia '' Vijana ninyi ni Taifa la Kesho, ndio viongozi wa Chama baadaye. Mnapaswa kujiajiri kama sera ya Chama inavyosema''

Vijana wanapiga makofi kwa kwa kwa! hapo kuna akili ya kuhoji chochote wastaafu wnaposema!

JokaKuu Kiranga
 
Hizi porojo tu hazina maana yoyote. Magufuli alikuwa mpumbavu aliyekuwa tayari kuua watu waliompinga. Kwa uchaguzi ule wakala gani angekuwa tayari kuweka maisha yake hatarini!? Hivyo vimiradi uchwara vya ccm havina faida yoyote acha kudanganya watu hapa. Ndio maana wanaiba pesa BoT kugharamia chaguzi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…