Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Alikuwa strategist mkuu wa kundi la msoga. Pia mtendaji mkuu hivyo ndani ya ccm hukuweza kuwatenganisha hadi pale issue za umeme zilipo ibuka na jk alisema ccm haitamfia mikononi ndoo enl akatoswa.
Shkamoo mzee. Hivi nasikia wakati sheikh Amri Abeid stadium inajengwa wanafunzi walikuwa wanapigishwa kazi. Unaweza tupa stori kidogo?Nilisoma naye Arusha Secondary School akinitangulia miaka miwili, niseme tuu sisi tuliotokea Arusha mjini tulizidiwa na Masai toka Monduli akawa Parade band leader, Head Prefect na best Basketballer
Alikuwa na nyota na haiba ya kupendwa.
Pengine Mimi sijakuelewa. Unahoji nguvu ya mtu ambae katumikia nyazifa mbalimbali za juu zinazo muunganisha na watu moja kwa moja katika maisha yao.
Hiyo ni kawaida kabisa kwa mjibu wq nyazifa mhimu alizozipitia
Marehemu alikua mtu wa misimamo.Poleni kwa Msiba Wakuu!
Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.
Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.
Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni kupepeta mdomo.
Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.
Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.
Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?
Karibuni
AnhaaKwenye pesa hapo si kweli, wangapi walijua kua mzee ana ukwasi??
Kilichompa kiki ni ile kujivua gamba, akaonesha weredi pale, akaja kupata booster kwenye chama chake kwenye ule uchaguzi, ni nani alikua mkubwa zaidi yale pale.??
Chadema nao wakaja kumpaisha zaidi.
Japo pesa zilihusika ila kua na pesa hakukupi ushawishi direct.
Marehemu alikua mtu wa misimamo.
Watu wanakuheshimu automatically kama una tabia ya kujisimamia.
Anyway, hadi leo ile picha ya wengi wa wana-ccm wakiimba "Tuna imani na Lowassa" kwenye mkutano wa NEC 2015 kpnd cha mchujo haijanitoka akilini.
R.I.P Lowassa
Kama nani mkuuMkuu, nafikiri hujui ushawishi wa Lowasa kwenye hii nchi.
Hizo nafasi wapo waliozitumikia tena wengine mpaka kuwa Marais lakini hawana huo ushawishi.
Shkamoo mzee. Hivi nasikia wakati sheikh Amri Abeid stadium inajengwa wanafunzi walikuwa wanapigishwa kazi. Unaweza tupa stori kidogo?
Kama nani mkuu
Labda unatania mkuu. Mbona nasikia ndo ana remote ya ku-run state.Kama Jk
Sasa ningoje na jibu nimekupa, omba mods wafunge uzi.Anhaa
A
Ngoja wajuvi wa mambo waje.
Ni pesa tu huyu mzee alijua kuzitega pesa na zikategeka..Poleni kwa Msiba Wakuu!
Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.
Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.
Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni kupepeta mdomo.
Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.
Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.
Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?
Karibuni
💰 💴 💵 hela, fedha, ukwasi, etc. Alihakikisha anasemwa vizuri. Ila hapa wazee koti zile za rangi ya muafrica nawakubali, si unaona walivyogeuza na kumfanya Dkt Samia aonekane anaweza kushinda uchaguzi hahahaha yaani Makonda hakika kaupiga mwingiPoleni kwa Msiba Wakuu!
Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.
Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.
Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni kupepeta mdomo.
Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.
Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.
Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?
Karibuni
Pesa ni sabuni ya roho.Poleni kwa Msiba Wakuu!

Umenena vemaNini Chanzo Cha Magufuli, au Makonda au Mpina, kua na ushawishi Kwa watu wengi ?.
Hata Mimi ninao Huu Uwezo wa Ushawishi na kukubalika.
Ni Mungu tu, Kuna watu Mungu anawapa Karama hiyo na ukishaijua hiyo Karama, ukaifanyia Kazi, nyuma yako kitakua na Maelfu ya watu.
Licha ya kuwa mwanasiasa mkubwa tu enzi zake, pia alikuwa bonge la don, mtu mwenye mishe nyingi na fedha za kutosha. Umaarufu wa Lowassa vilevile upo zaidi Arusha. Pale anabiashara nyingi na pia ni Laigwanani katika kabila la Wamasai, mtu mkubwa zaidi kwa Wamasai. Nadhani Wamasai watalia sana.Poleni kwa Msiba Wakuu!