Upo sahihi mkuu,Chang'ata ni chama kimeundwa kupoteza maboyaChauma ni tawi la ccm linalopokea maelekezo yote. Walivyokuwa hawana haya eti watapewa wabunge.....mnagawana nchi kama mali ya mwendawazimu.
Majimbo hayo ya kuwagawia Chauma ndiyo maana tuna taka reforms.....huu moto hautapoa
bila ushahidi wa chochote hizi ni propagandaMmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuiua CHADEMA kama walivyotaka kumuua Tundu Lissu, lakini hawatafanikiwa kwa jina la Mungu aliye hai. Badala yake watakufa wao kama ilivyotokea mwaka 2020. Mungu ni fundi wa mafundi.Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Sioni kitu cha ajabu hapa, ila makosa ya kiuandishi tu. Hata Chadema Hence anatoa kofia na kila mfurukutwa anachanga. Wangekuwa wanalazimisha ofisi za serikali au mashirika ya umma kuchanga, hapo ndipo kungekuwa na ukakasi.
Sikuandika ili uaminiCCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika? Seriously?
Huoni cha ajabu kwakuwa ukipenda chongo huona kengezaSioni kitu cha ajabu hapa, ila makosa ya kiuandishi tu. Hata Chadema Hence anatoa kofia na kila mfurukutwa anachanga. Wangekuwa wanalazimisha ofisi za serikali au mashirika ya umma kuchanga, hapo ndipo kungekuwa na ukakasi.
Kama kufa ndo mwamko namna hii,ni heri chadema iliyokufa kuliko iliyoitwa ipo hai wakati inatoa funza.CCM imeiua chadema kisayansi. Hadi mwezi wa 7 chadema itakuwa imeishazikwa.
MaCCM ni majitu ya kipumbavu sana. Yanataka yachangiwe kwa sababu gani zaidi ya kuhujumu fedha za wananchi kwa maslahi ya matumbo yao binafsi na makubwa kama mapakacha ya samaki? CCM is nothing but a bunch of twits!Usitake tuweke hata visivyofaa kuwekwa hapaView attachment 3341099
Hakuna kipindi ccm imeonekana ya kipumbavu kama nyakati hizi.Ccm inafungua tawi lake lingine inaita chama cha upinzani!.Nadhani hata wana ccm wenyewe wanaona huu ni upumbavu.Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Ccm inafungua tawi lake lingine inaita chama cha upinzani!.Nadhani hata wana ccm wenyewe wanaona huu ni upumbavu.😁😁😁Hakuna kipindi ccm imeonekana ya kipumbavu kama nyakati hizi.Ccm inafungua tawi lake lingine inaita chama cha upinzani!.Nadhani hata wana ccm wenyewe wanaona huu ni upumbavu.
Chadema na Chauma vitakuja kushrikiana tu wanajuana zaidi kuliko ccm inayowabeba.Chauma ni tawi la ccm linalopokea maelekezo yote. Walivyokuwa hawana haya eti watapewa wabunge.....mnagawana nchi kama mali ya mwendawazimu.
Majimbo hayo ya kuwagawia Chauma ndiyo maana tuna taka reforms.....huu moto hautapoa
@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.!CCM imeiua chadema kisayansi. Hadi mwezi wa 7 chadema itakuwa imeishazikwa.
@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.!bila ushahidi wa chochote hizi ni propaganda
hizi propaganda za kupewa pesa mlimfanyia aCT ila we know you now
chaumma wapate hela popote wanapopata we do not care.....
nyie mnavyopata Ford Foundation kutoka nairobi huko sio hela ni mavi hayo?
acheni kuleta usenge wa what-aboutism hapa
hela zenu nyie ni safi hela za wengine sio safi?
kumanyoko kabisa
mbna wamejaa uku ccm tawi kuu hao ni reserve tuMmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
mbna wamejaa uku ccm tawi kuu hao ni reserve tu
Fedha zimetoka "kulee"Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
dua la kuku@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.!
1.1K reactions · 22 shares | @exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.! | Mal
@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi"...www.facebook.com
Sasa kwa akili yako ulitaka Chadema iendelee na mwenyekiti mamluki wa Ccm. Lissu katufumbua macho wa Tz kuwa kulikuwa hakuna upinzani zaidi ya mamluki wa CcmMasikini nawaona mnavyoumia! Nilisema kuingia kwa Tundu Lissu kuliingiza jinamizi Chadema hamkunisikiliza
Bora mapandikizi yaondoke yote hata kama wakibaki mawili ni bora iwe hivyo na ijulikane kuwa Tz wapinzani genuine ni wawili tu kuliko kuwa na wapinzani million 4 lakini genuine ni 10 tu.Hakika mama Samia ni kiboko, anawachanganya mpaka wazee kiasi kwamba imefika wakati hawajui hata mada wanayoianzisha inazungumzia nn?!!!! Hatari sana.
Ni kichekesho Cha Karne kujipumbaza kiasi hiki. Itaigharimu chadema chakavu miaka 100 kufikia intelejinsia ya ccm (na hapo kama ccm itabaki hivi hivi kama ilivyo).
Oh, nikitaka kusahau; hivi Dr Slaa si yupo huko anapiga kazi ya no reform no election ee?!!!!🤣🤣🤣🤣