Bado ni CHADEMA tuu.. CCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika

Hao wanachama wameshakwenda Chauma lakini mijadara mingi bado watu wanaiwaza Chadema badala ya kuwaza wanajipanga vp na uchaguzi ambao Chadema hawashiriki 😂😂😂 ajabu sana hii
 
Chadema inapaswa kuweka mashushushu mpaka jwtz na hata mapolisi na mpaka huko TISS mpaka huko kwa mboga mboga pia waweke watu wao ili kujua nia na maovu na kurahisisha kuitwanga mboga mboga
 
Bora mapandikizi yaondoke yote hata kama wakibaki mawili ni bora iwe hivyo na ijulikane kuwa Tz wapinzani genuine ni wawili tu kuliko kuwa na wapinzani million 4 lakini genuine ni 10 tu.
Sawa lakini Bado hujajibu swali; hivi Dr Slaa anakiwasha huko ee kwenye no reform no election ee?!!!!
 
Chadema inapaswa kuweka mashushushu mpaka jwtz na hata mapolisi na mpaka huko TISS mpaka huko kwa mboga mboga pia waweke watu wao ili kujua nia na maovu na kurahisisha kuitwanga mboga mboga
Angalia hili lipumbavu, unafikiri hawataki?!!!!!
 
HIV KATI YA CCM NA CHADEMA KIPI KINAKUFA KWA SPIDI?
KWELI TUNA AKILI TOFAUTI
 
Labda kama wewe huwa unajiita CHADEMA. Lakini CHADEMA kama chama, utaondoka Dunia hii, CHADEMA utaiacha, na yumkini ikizidi kuimarika zaidi.
Jibu murua kabisa
 
Labda kama wewe huwa unajiita CHADEMA. Lakini CHADEMA kama chama, utaondoka Dunia hii, CHADEMA utaiacha, na yumkini ikizidi kuimarika zaidi.
Kuwepo hata waafrika tupo duniani, lkn kifuatacho?!!! Kuomba vijiti vya kuchokonolea meno china. Nyumbu wataendelea kuwepo, hilo halina shida kwani wapo tangu 1992 lkn uwepo wao ni kwa ajili tu ya watu flani kisurvive........... itaendelea hivyo hata milele.
 
Sawa lakini Bado hujajibu swali; hivi Dr Slaa anakiwasha huko ee kwenye no reform no election ee?!!!!
Huyo toka aliposaliti kipindi kile 2015 sijawahi fatilia habari wala misimamo yake. Labda nikuulize wewe
 
kuhama chama ni haki yao wala hawapaswi kupewa majina yoyote amna walichokosea, same way kipindi ccm waiwapa watu na hamkupewa majina
 
Ila CHADEMA ina roho ngumu sana! Pamoja na makombora yote iliyopigwa bado imeendelea kusimama tu!
 
Kama mbwembwe za mitandao zingejenga nchi…. Tanzania Ingekua the first world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…