Bado ni CHADEMA tuu.. CCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika

Hao wanachama wameshakwenda Chauma lakini mijadara mingi bado watu wanaiwaza Chadema badala ya kuwaza wanajipanga vp na uchaguzi ambao Chadema hawashiriki 😂😂😂 ajabu sana hii
is the matter of opinion

mimi binafsi naona chadema ndio wamezidi kuwasema waliohamia chaumma

wewe unaona waliohamia chaumma ndio wanawasema chadema waliobaki

purely opinion hapa!
 
We ndio wale wanaitwa wenye akili hp JF? Sasa km we ndio mwenye akili hao wengine wakoje? We unachoweza ni kuandika hadithi za kusadikika tena za mambo ya uchawi siasa huijui na huiwezi.
Uyo mshana jr ni mganga njaa maarufu plus sheikh Yahya wa mchongo wa Chadomo.
 
Chauma ni tawi la ccm linalopokea maelekezo yote. Walivyokuwa hawana haya eti watapewa wabunge.....mnagawana nchi kama mali ya mwendawazimu.

Majimbo hayo ya kuwagawia Chauma ndiyo maana tuna taka reforms.....huu moto hautapoa
Wameyakanyaga!
 

Chauma ni miongoni mwa vile Vyama Mamluki.
 
Mimi naona CHAUMA inatumiwa na CCM kama Toilet paper! Baada ya uchaguzi kitatupwa nje.
 
Ccm itaondoka madarakani kwa ujinga wao. Wangewekeza kwenye itawala bora na kuleta maendeleo kwa wananchi na kulinda rasilimali zetu hakika sote tungekuwa upande wao. Lakini wao wamewekeza kwenye utekaji na kutawala kimabavu hakuna miradi ya maendeleo inayofanyika kwa ufanisi ni upigaji kila mahali huku wananchi tunapata shida halafu bado wanataka tuendelee kuwasapoti haiwezekani. 2025 ni mwaka wakujikomboa tutautumia vizuri kwenye sanduku la kura.
 
is the matter of opinion

mimi binafsi naona chadema ndio wamezidi kuwasema waliohamia chaumma

wewe unaona waliohamia chaumma ndio wanawasema chadema waliobaki

purely opinion hapa!
Kwa opinion yako unadhani chama kipi kijadiliwe kati ya kinachoenda kushiriki uchaguzi na kuleta viongozi ama kile ambacho hakishiriki na hakitakuwa na impact kwenye utawala?
 
Tanzagiza
 
Kwa opinion yako unadhani chama kipi kijadiliwe kati ya kinachoenda kushiriki uchaguzi na kuleta viongozi ama kile ambacho hakishiriki na hakitakuwa na impact kwenye utawala?
discuss chochote unachojisikia

u are free and all people are free to discuss anything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…