Sawa Boss.Zilikuwepo basi zenye choo na viti vya sofa na ac. sema ulikuwa hauendi njia hizo za Mbeya.
Hakuna sehemu maccm yakatia mguu pakabaki salamaMafisadi waliingiza mabasi yao kwenye kampuni
Hahaha....... hata Lowassa alipotia mguu Chadema duhHakuna sehemu maccm yakatia mguu pakabaki salama
Acha urongo wewe MnyasaSababu ya kifo cha Scandinavian ni baada ya mmiliki kujiingiza kwenye siasa za kijinga huku akijua analo deni beki ya ADB, ADB walikuwa wanamdai yeye akachukua mabasi kuwapeleka bure wanaccm Rufiji kuzindua daraja la Mkapa, mabasi yaliporudi ADB ikakamata mabasi yote ya Scandinavian na kuyafungia kwenye yadi ya serikali Temeke kusubiri mnada, huo ndio ulikuwa mwisho wake.
Kilichomponza ni kudhani kuwa CCM itaiambia benki mwacheni huyu ni mwenzetu, lakini ADB haiko Tanzania hivyo haiwezi kujua kama ni mwenzao.
Huwezi mlinganisha ratco na scandinavia kwakuwa ratco ana route chache sidhani kama zinazidi mbili, ninayoifahamu ni Dar-TA tuHoja Yao kubwa ni kuwa Scandinavian ni gari ya mzungu.
Scandinavia ulikuwa huwezi kuta abiria wamesimama au pale mbele kwa dereva ukute watu wamekaa, hakuna hiyo, kwasasa ratco na nacharo wanajitahidi tatizo wana route chacheKwa lipi? Je zilikuwa zinapaa? Au mwisho wa safari alikuwa anarudisha nauli? Kipi kilikuwa ni special ambacho mabus mengine hayakifanyi?
Asipoelewa hapa haelewi Tena,kulikua na coordination inayoeleweka sana unafanya booking kama ndege Tena miaka hiyo.Zile ulizozitaja zoote nimezipanda shabiby ni loyal customer wao wa basi la mwisho kutoka Dar to Dom hivyo najua alipopungukiwa kumfikia scand, Darlux kabla ya hizi zilizomshinda akamuuzia klm alikuwa na zile polo original mbili(2) nazo nilizipanda japo kwa ule upungufu wao wa kuvuja kipindi cha mvua miaka hiyo akiwa na route ya Dar Mwanza. Hao abc ni uchafu usiomfikia hata shabiby
Hivyo ninapokubali ubora wa scand dhidi ya hao uliowataja na wengine ambao umewaruka, sio kwa sababu za kisiasa aka mihemuko ni kwa sababu ya kile alichokuwa anatupatia bila yeye kutuchoka hata tukiwa on board kwa masaa ishirini na zaidi
Sio jambo rahisi kwa hawa wasafirishaji wa leo mteja afanye booking ya mwezi mmoja mbele akubaliwe na siku ya safari akute nafasi ile aliyoomba bila kuletewa sarakasi ila kwa scand ilikuwa inawezekana
Swala si tu kuwa royal kwa customers. Scandinavia walijali hata emotions za watu wengine. Basi lilopata ajali au ubovu wowote likivutwa na breakdown,hufunikwa lote kwa turubai. Mabaki ya ajali huwa na mitazamo hasi.Point kubwa niliyoielewa ulipenda hizo gari sababu ni Scania it's seems haupo interested na Brand nyinginezo lakini kuhusu huduma tuseme ukweli kampuni nyingi zinajitahidi kuwa royal Kwa customer wao ukizingatia time hii Kuna competition kubwa kwenye game la usafirishaji.
Njooni ABCTutajie hizo kampuni bwashee
Kuna vibinti viwili nilivipitia miaka ya mwanzo ya 2000, vilikuwa pale KAMATA.Akikujibu pls tag me, na atoe facts sio blah blah, Scandinavian Express walikua na top class systems ya tickets, top class boarding lounge, ALWAYS ON TIME,they never ever cancel a trip, well serviced buses, well trained staff,no RUSH njiani,mkisimama sehemu ya mapumziko it's more than 30mins,ndani y bus ni smile tupu, binafsi nilipenda bcs always no 1
Mohamed Trans je!?1. Scandinavia
2. Fresh ya Shamba
3. Dar Express
4. Zainab
Hawa ndio wakali wa hizi kazi wa muda wote...
Scandinavia na Zainab walikuwepo zamani, wakapotea then wakaja kwa nguvu kubwa na mwisho wakapotea mazima...