round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
- Thread starter
-
- #101
Dar es salaam (Bandari salama), Bandari aliyotumia Sultan Majid kufanya biashara zake,Bandari gani? Kwa nini swali hili ni muhimu katika mazungumzo ya nani kaanzisha mji wa Dar es salaam na si non sequitur logical fallacy tu?
Kwanza kabisa jina Dar es Salaam halitokani na "Bandari Salama".Dar es salaam (Bandari salama), Bandari aliyotumia Sultan Majid kufanya biashara zake,
bandari ilikuwa inatumika kusafirisha watumwa ?
Sawa sawa, itakuwa Dar es salaam ina maana ya jiji la tendeKwanza kabisa jina Dar es Salaam halitokani na "Bandari Salama".
Mpaka hapo tu ushajionesha hujui historia.
Piki, hakuna mtu aliyesema Sultani Majjid hajafanya biashara zake.
Point yako nini hapa?
Utumwa utakuwa kichwani kwako vile unajiona mtumwa na utatenda sawa na watumwa mbele ya waarabu hadi leo.Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Dar es salaam ina maana ya Bandari Salama, kwa muda huo Sultan aliitumia bandari kufanya biashara ya kikatili ya kusafirisha babu zetu kwenda kutumikishwa kitumwa. Bandari aliyotumia haikuwa na bugudha, ilikuwa ni salama kwake na ilimtajirisha zaidi kupitia babu zetu.
Ni sawa na mbakaji anaeteka watoto wanaopita kwenye korongo, sehemu hio ikiwa ni salama kwake ataiita korongo salama, itashangaza sana baada ya mtu huyo kudhibitiwa watu waendelee kupaita korongo salama.
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, Babu zetu walipelekwa kulimishwa kimabavu mashamba ya Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Jiji la hovyo sana .mpangilio wa makazi ni hovyo.Tunazidiwa na jiji zuri la Kigali na Bunjumbula
This is a strawman argument logical fallacy.Sawa sawa, itakuwa Dar es salaam ina maana ya jiji la tende
nitaanzisha uzi husika
Nini maana ya Dar es Salaam?
Nimeona jina hili linatumika pia kwenye nchi kadhaa duniani hasa za Kiarabu.
Tuwekee ushahidi wa haya uliyo yaandika.Sultani alichukua eneo kimabavu hana hadhi yoyote ya kusifiwa kuanzisha mji, kwao alikotoka ni uarabuni.
Hao masultan wamechukua babu zako kuwauza sehemu nyingi duniani, Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa babu zetu waliopelekwa uarabuni walikatwa viungo vya uzazi ndio maana leo hii ni ngumu kukuta vizazi vya watumwa uarabuni
Kwani akianzisha bila alama kubaki anakuwa hajaanzisha?
Nimekuambia hiyo Ikulu ya Dar es salaam ilijengwa na Sultani kama chuo cha Uislamu, hilo jengo limekuwa Ikulu miaka na miaka, hiyo si alama?
Ikulu ya Dsm na Ocean road hospital zilijengwa na Waarabu kwa matumizi tofauti siyo kama yanavyotumika sasa hivi,acha uongo. wako.
watumwa waliopelekwa nchi za masultani walikatwa viungo vya uzazi, hawakuruhusiwa kuzaliana na kulikuwa na hofu wanaweza kuchanganya damu na mabinti wa huko.Tuwekee ushahidi wa haya uliyo yaandika.
Umeelewa nilicho uliza? Hayo hayo maneno ya kiarabu hata kama ni machache, na yenyewe tuyabadilishe?Kiswahili ni lugha yenye maneno mengi ya kibantu kuzidi kiarabu,
Ndio maana hatuwezi kuzungumza na waarabu,
Ukianzia historia ya Dar 1891 kuna miaka karibu 30 ushairuka hapo.
Kamuite mtoto wako jina la kitumwa "nyani kasoro mkia", haiwezi kumzuia kuendeleaJina ndiyo linazuia maendeleo?
Kwani asili ya jina la babu ako ni nini?Kamuite mtoto wako nyani kasoro mkia, haiwezi kumzuia kuendelea
Hili jengo la sasa la Ikulu inasemwa lilijengwa na British architect John Sinclair baada ya ngome ya Mjerumani kuharibiwa.Ukianzia historia ya Dar 1891 kuna miaka karibu 30 ushairuka hapo.
Sultan Majjid alinunua kipande hicho cja kutoka Magogoni mpaka Aga Khan kutoka kwa famikia ya Tambaza tangu alivyoingia huko 1860s.
Sasa Mjerumani kajenga vipi Ikulu hapo wakati hilo jengo la Ikulu lilikuwapo kabla Mjerumani hajafika hapo?