Mkulu, hapo ndipo alipokuondoa kwenye hoja yako. Swali la msingi hapo ilikuwa kufanya kingang'anizi akujibu, kama ilivyoinishwa na kuwasilishwa kwenye mada yako.Kama ni kuuza ardhi hata chief Mangungo alimuuzia Carl Peters, jielimishe
Kwani Rais anaposhinda urais na kukubaliwa kuwa yeye ni rais anakuwa kakubaliwa na wananchi wote kuwa rais?Mkulu unaposema jina la dar..."tumelikubali" una maana ya Watanzania wote au ni kina nani hao ambao wamelikubali?
Je, unataka kusema mleta mada sio Mtanzania?
Ajabu muandishi kutumia kujiita "round kick" lugha ya kikoloni huu si ni upunguaniTukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?
Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Sultani Majid alikuwa akifanya biashara ya kikatili ya utumwa iliyomtajirisha, Bandari aliyotumia aliisifia kwa kuiita Dar Es Salaam, kwa tafsiri ya kiswahili ni bandari salama, alisafirisha babu na bibi bila bugudha ndio maana akapaita Dar Es salaam, sehemu ambazo babu zetu walifikia wamechapwa sana mijeredi, wamelimishwa sana mashambani, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao, utaowakuta ni waafrika waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Ngoja nitoke kidogo nje ya mada.Bombay ilibadilishwa kuwa Mumbai,
Harare zamani ilikuwa Fort Saalisbury
Instanbul zamani ilikuwa Constantinople
Gold Coast ilibadilishwa kuwa Ghana
Toronto ilikuwa York zamani
Mnataka paitwe mji uitwe Mwamposa kwani uko kwenu Bala Akuna majina ya Kubadilisha mfano ziwa Victoria Awa wazungu ndio Wamewatumia Babu zetu kwenye Mashamba uko American !!!!
Jibu swali mkulu, mbona unahamisha goli tena? Nakuhakikishia sikuwa nimekutega.Kwani Rais anaposhinda urais na kukubaliwa kuwa yeye ni rais anakuwa kakubaliwa na wananchi wote kuwa rais?
Jina la Dar es salaam tulishalikubali, tulikichukua na kulifanya letu,
Kwahiyo hutaki Jiji la Mzizima liitwe Mama Samia mbona umekuwa triggered hivyo mpaka umekuja na Gazeti?!Mnataka paitwe mji uitwe Mwamposa kwani uko kwenu
Kazi kubwaSultani kauziwa ardhi mjini na Jumbe Tambaza ndiyo kajenga chuo cha Uislamu hiyo Ikulu ya Dar na maeneo ya mjini.
Kasome historia ujielimishe kabla ya kukurupuka.
Nchi ya Tanzania imelikubali hilo jina, lipo rasmi kisheria, watu wanalikubali kiutamaduni. Kimataifa ndilo linalojulikana.Jibu swali mkulu, mbona unahamisha goli tena? Nakuhakikishia sikuwa nimekutega.
Mlikubali wewe na nani kuacha. Jina la Dar Es Salaam.
Rejea
Manake kwa kusema hivyo ni kwamba kwaavile "Tulikubali na kukubaliana, basi hamna haja ya kubadilisha jina"
Na kwa muktadha huu, ina maana Watanzania ndio "Tulikubali" msimamo ambao napingana nao.
Binafsi naunga mkono na hoja ya mleta mada.
ambayo ni dhahiri inatafsirika "Tulikatae"
Kazi kubwa kweli kweli.Kazi kubwa
Hilo jiji Lina mchango mkubwa kwa Taifa ki historia, kiuchumi, kitamaduni, usafiri, ustaarabu. Haya yote ni sababu ya baraka ya jina safi lilopewa mji huu.Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?
Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Sultani Majid alikuwa akifanya biashara ya kikatili ya utumwa iliyomtajirisha, Bandari aliyotumia aliisifia kwa kuiita Dar Es Salaam, kwa tafsiri ya kiswahili ni bandari salama, alisafirisha babu na bibi bila bugudha ndio maana akapaita Dar Es salaam, sehemu ambazo babu zetu walifikia wamechapwa sana mijeredi, wamelimishwa sana mashambani, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao, utaowakuta ni waafrika waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Hakuna satisfaction kubwa Duniani hata katika Ile Herrachy of needs levels (Ngazi za mwnadamu za kujihisi mtoshelevu) kama ule utoshelevu unaotokana na kutatua changamoto za wengine. Mimi nimeishi na kukaa sana na watu wazima na waliokuwa na nafasi mbalimbali huwa anajihisi mtoshelevu mno anapogusia kwamba amempush yule au ameokoa maisha ya mwingine. Sasa, hao ni watu hata hawakuwa kwenye nafasi kubwa za maamuzi zinazoaffect mkoa mzima au nchi.Kazi kubwa kweli kweli.
Watu hawana maji, hawajui hata kukinga maji ya mvua kupata maji ya kuchamba mavi vizuri wasipate kipindupindu.
Hawalioni hilo kama tatizo.
Wanaona kubadilisha jina la mji ndiyo tatizo la maana la kupewa kipaumbele.
Ujinga mtupu.
Chini yote uliyo bandika ni tisa. HayajalishiNchi ya Tanzania imelikubali hilo jina, lipo rasmi kisheria, watu wanalikubali kiutamaduni. Kimataifa ndilo linalojulikana.
Hakuna kesi yoyote ya kulipinga.
Hakuna muswada wa kuliondoa.
Ni kelele za watu wachache tu wasiojua priorities za mitandaoni tu hizi. Tena hapa JF tu.
Watanzania kiujumla wana matatizo mengi sana, lakini hili si moja ya matatizo hayo.
Mnajitungia matatizo ambayo hayapo myatatue wakati matatizo yaliyopo wazi hamyatatui.
Kuna post hapo juu niliongelea kuwa kitu kuwa kisheria haina maana kuwa ni sawa. Kwamba hata sheria inaweza kuwa mbaya.Chini yote uliyo bandika ni tisa. Hayajalishi
Na kwa majibu yako hapo juu ina maana, hata kufikiria tusifikirie, kwamba hatuwezi kulikataa?
Kwasababu lipo rasmi kisheria na watu wanalikubali kiutamaduni na kimataifa;
unajua nilitaka kusema mantiki hiyo inafanana na kusema>
'Basi hata Kubadilishwa kwa jina la Tume ya Uchaguzi, kwenda Tume Huru ya Uchaguzi' Watanzania wameikubali, ipo rasmi kisheria na Kimataifa tume hiyo inajulikana'
Kwamba hao wachache wanaotaka mabadiliko wapuuzwe(hakuna muswada wala nn) kama vile unavyotaka tupuuzie rai ya mleta mada na Watanzania wengine kama mimi ambao tungependa kuona mizizi ya utumwa inaondolewa eti kwasababu tuna mengi yakuyafanya-au nitakuwa nimekosea kufanya/kusema hivo?
nonetheless,
Kwanini tume huru ibadilishwe na wakati tuna vipaumbele vingine vya maendeleo?
Hata hivyo nitakua natoka nje ya mada kuanza kujadiliana suala la tume huru wakati hapa sio pahala pake.
Swali langu ni hv, Kwanini unaona kubadilisha Dar kwenda Mzizima au Magomeni-you can have at it-ni kupoteza muda na rasilimali? Kama ambavyo CCM inafanya kuhusu Tume huru?
Je, huoni huko ni kupuuza maoni na hoja za wachache?
Hoja yako inaonekana kwamba hili sio suala la kupewa kipaumbele, na sidhani hata mleta mada anadai lifanywe kesho, yaan liwe kipaumbele.
Tunabadilisha kwa sababu zingine, siyo kuondoa memory ya utumwa au ukoloni.
Jamaa wewe ebu tueleze... Jina ndo linachangia tuwe na watu wenye changamoto za compos mentis wanaozorotosha maendeleo??Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?
Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Mlete hoja nadhani hajui matatizo ya wananchi ndani ya nchi yao!Kuna post hapo juu niliongelea kuwa kitu kuwa kisheria haina maana kuwa ni sawa. Kwamba hata sheria inaweza kuwa mbaya.
Na ndiyo maana kwenye hili sikuishia kisheria, nimeendelea mpaka kiutamaduni.
Watanzania hawana tatizo na jina la Dar es salaam.
Wana matatizo mengi sana, lakini hili si tatizo wanalolifikiria.
In fact, kubadilisha jina ndiyo kunaweza kuwa tatizo. Kutahitaji fedha ambazo hawana, kutaleta confusion unnecessarily, kutagawanya watu, kutaharibu branding ya miaka mingi kwa sababu watu wengi wanaijua Dar es salaam tayari.
All that for what? Some woke identity politics Quixotic pursuit?
Watu wanakula mlo mmoja kwa siku halafu analeta habari za kubadili jina la Dar es salaam?Mlete hoja nadhani hajui matatizo ya wananchi ndani ya nchi yao!
Unaweza ukarudia kuiweka hapa👇Kuna post hapo juu niliongelea kuwa kitu kuwa kisheria haina maana kuwa ni sawa. Kwamba hata sheria inaweza kuwa mbaya.
OffsideNa ndiyo maana kwenye hili sikuishia kisheria, nimeendelea mpaka kiutamaduni.
Unasema tumpuuze mleta mada sio Mtanzania? Unasema na mm Nkaburu wa Zabanga, sio Mtanzania?Watanzania hawana tatizo na jina la Dar es salaam.
sasa haya aliyoleta mleta mada yametoka wapi kama sio kwa Watanzania/Mtanzania?Wana matatizo mengi sana, lakini hili si tatizo wanalolifikiria.
...In fact, kubadilisha jina ndiyo kunaweza kuwa tatizo.
Kama confusion ya Gulf Of Mexico?Kutahitaji fedha ambazo hawana, kutaleta confusion unnecessarily, kutagawanya watu, kutaharibu branding ya miaka mingi kwa sababu watu wengi wanaijua Dar es salaam tayari.
Muulize aliyeleta mada anajibu ase.All that for what? Some woke identity politics Quixotic pursuit?
Wale sio waafrikaNa Beijing ambayo inawatu zaidi ya milioni 21 lakini imepangwa vizuri na inavutia sana.Au New York city