Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

Kama ni kuuza ardhi hata chief Mangungo alimuuzia Carl Peters, jielimishe
Mkulu, hapo ndipo alipokuondoa kwenye hoja yako. Swali la msingi hapo ilikuwa kufanya kingang'anizi akujibu, kama ilivyoinishwa na kuwasilishwa kwenye mada yako.
#######nipo kurasa ya kwanza

Mpaka hapa nilipofika kusoma uzi huu sijaona pahali umejibiwa. 👈 hata hivyo umeibua mjadala ambao tunapaswa kujadiliana.🙏
 
Mkulu unaposema jina la dar..."tumelikubali" una maana ya Watanzania wote au ni kina nani hao ambao wamelikubali?

Je, unataka kusema mleta mada sio Mtanzania?
Kwani Rais anaposhinda urais na kukubaliwa kuwa yeye ni rais anakuwa kakubaliwa na wananchi wote kuwa rais?
 
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?

Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said

Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."

Sultani Majid alikuwa akifanya biashara ya kikatili ya utumwa iliyomtajirisha, Bandari aliyotumia aliisifia kwa kuiita Dar Es Salaam, kwa tafsiri ya kiswahili ni bandari salama, alisafirisha babu na bibi bila bugudha ndio maana akapaita Dar Es salaam, sehemu ambazo babu zetu walifikia wamechapwa sana mijeredi, wamelimishwa sana mashambani, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao, utaowakuta ni waafrika waliohamia kuanzia miaka ya 70s

View attachment 3250594

Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Ajabu muandishi kutumia kujiita "round kick" lugha ya kikoloni huu si ni upunguani
 
Bombay ilibadilishwa kuwa Mumbai,
Harare zamani ilikuwa Fort Saalisbury
Instanbul zamani ilikuwa Constantinople
Gold Coast ilibadilishwa kuwa Ghana
Toronto ilikuwa York zamani
Ngoja nitoke kidogo nje ya mada.

Mkulu nawewe tena?

Hivi unataka kusema kulikuwa hamna majina ya kiasili ya hiyo miji yote?

Je, ndio yale yale kuwa Wazungu ndio walianzisha miji na makazi ya Waafrika?
 
Kwanini pasiitwe Mama Samia?!

Lucas Mwashambwa
Mnataka paitwe mji uitwe Mwamposa kwani uko kwenu Bala Akuna majina ya Kubadilisha mfano ziwa Victoria Awa wazungu ndio Wamewatumia Babu zetu kwenye Mashamba uko American !!!!

na Kwengineko Wakiwabagua na kuwauwa kama wanyama Babu Zetu lkn pia Wazungu wanatusambazia Ushoga Africa yote!! Vip tuendelee kuwasamini Wazungu!!!!!!????

ikiwa inawauma mji huu kutwa jina lake la DAR ES SALAAM jiandaee kurudi kwenu Bala mlitoka kwenu uko Masikini sasa mmeshiba mnaanza Upumbavu wenu wa uko Bala!!!!!

nyinyi ni Wapumbavu ndio mana mmeshindwa kuendeleza miji yenu mkakimbilia DAE ES SALAAM uko kwenu kumejaa Ushilikina rohoooo mbayaa Ukabila Udini Upumbavu!!!

ndio mana miji yenu umasikini umetamalaki tafuuti na Dar es salaam apa akuna Udini apa akuna Ukabila nawakumbusha nyinyi Wapumbavu Wote siku yenu ipo Mtakuja kukumbuka nyinyi ni Wapumbavu !!!

na asili yanu ni Upumbavu ndiomana kwenu Masikini sana Sababu ni Wapumbavu kiakili nasasa jitasminini mlivo mnawashwa waswa sana katika miji ya watu !!!!

Siku yenu ipo mushukulu CCM Wapumbavu nyinyi CCM ndio imewaweka Mjini Apa Siku yenu Ipo ngoja idondoke CCM ndio mtaelewa!! Endeeleni kuwaswa waswa!!!
 
Kwani Rais anaposhinda urais na kukubaliwa kuwa yeye ni rais anakuwa kakubaliwa na wananchi wote kuwa rais?
Jibu swali mkulu, mbona unahamisha goli tena? Nakuhakikishia sikuwa nimekutega.

Mlikubali wewe na nani kuacha. Jina la Dar Es Salaam.

Rejea
Jina la Dar es salaam tulishalikubali, tulikichukua na kulifanya letu,

Manake kwa kusema hivyo ni kwamba kwaavile "Tulikubali na kukubaliana, basi hamna haja ya kubadilisha jina"

Na kwa muktadha huu, ina maana Watanzania ndio "Tulikubali" msimamo ambao napingana nao.

Binafsi naunga mkono na hoja ya mleta mada.
ambayo ni dhahiri inatafsirika "Tulikatae"
 
Jibu swali mkulu, mbona unahamisha goli tena? Nakuhakikishia sikuwa nimekutega.

Mlikubali wewe na nani kuacha. Jina la Dar Es Salaam.

Rejea

Manake kwa kusema hivyo ni kwamba kwaavile "Tulikubali na kukubaliana, basi hamna haja ya kubadilisha jina"

Na kwa muktadha huu, ina maana Watanzania ndio "Tulikubali" msimamo ambao napingana nao.

Binafsi naunga mkono na hoja ya mleta mada.
ambayo ni dhahiri inatafsirika "Tulikatae"
Nchi ya Tanzania imelikubali hilo jina, lipo rasmi kisheria, watu wanalikubali kiutamaduni. Kimataifa ndilo linalojulikana.

Hakuna kesi yoyote ya kulipinga.

Hakuna muswada wa kuliondoa.

Ni kelele za watu wachache tu wasiojua priorities za mitandaoni tu hizi. Tena hapa JF tu.

Watanzania kiujumla wana matatizo mengi sana, lakini hili si moja ya matatizo hayo.

Mnajitungia matatizo ambayo hayapo myatatue wakati matatizo yaliyopo wazi hamyatatui.
 
Kazi kubwa
Kazi kubwa kweli kweli.

Watu hawana maji, hawajui hata kukinga maji ya mvua kupata maji ya kuchamba mavi vizuri wasipate kipindupindu.

Hawalioni hilo kama tatizo.

Wanaona kubadilisha jina la mji ndiyo tatizo la maana la kupewa kipaumbele.

Ujinga mtupu.
 
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?

Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said

Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."

Sultani Majid alikuwa akifanya biashara ya kikatili ya utumwa iliyomtajirisha, Bandari aliyotumia aliisifia kwa kuiita Dar Es Salaam, kwa tafsiri ya kiswahili ni bandari salama, alisafirisha babu na bibi bila bugudha ndio maana akapaita Dar Es salaam, sehemu ambazo babu zetu walifikia wamechapwa sana mijeredi, wamelimishwa sana mashambani, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao, utaowakuta ni waafrika waliohamia kuanzia miaka ya 70s

View attachment 3250594

Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Hilo jiji Lina mchango mkubwa kwa Taifa ki historia, kiuchumi, kitamaduni, usafiri, ustaarabu. Haya yote ni sababu ya baraka ya jina safi lilopewa mji huu.
Yareti ungejua maana ya jina hilo kwanza kabla hujakurupuka.
Jina Lina maneno yote yaliyopo kwenye lugha ya keep Swahili.
Tunamshukuru sana Sultan Seyyid Majid bin Said kwa upeo wake wa mbali kuasisi mji huu. Mungu amuweke pema peponi.
Na Mungu aunusuru huu mji na nchi kutoka kwa watu wenye roho chafu zenye chuki na hiyana.
 
Kazi kubwa kweli kweli.

Watu hawana maji, hawajui hata kukinga maji ya mvua kupata maji ya kuchamba mavi vizuri wasipate kipindupindu.

Hawalioni hilo kama tatizo.

Wanaona kubadilisha jina la mji ndiyo tatizo la maana la kupewa kipaumbele.

Ujinga mtupu.
Hakuna satisfaction kubwa Duniani hata katika Ile Herrachy of needs levels (Ngazi za mwnadamu za kujihisi mtoshelevu) kama ule utoshelevu unaotokana na kutatua changamoto za wengine. Mimi nimeishi na kukaa sana na watu wazima na waliokuwa na nafasi mbalimbali huwa anajihisi mtoshelevu mno anapogusia kwamba amempush yule au ameokoa maisha ya mwingine. Sasa, hao ni watu hata hawakuwa kwenye nafasi kubwa za maamuzi zinazoaffect mkoa mzima au nchi.

Itakuwaje kwa mtu Ambaye sehemu ya kazi wajibu wake unahusu maisha ya watu wengi? Nilidhani huyo angepaswa kuwa na kiwango Cha juu zaidicha huo utoshelevu, ingawa analipwa na nchi kwa ajili iyo. Ila bahati mbaya ya kutosha ( unfortunately enough) wanafanya maigizo. Kisha wanajuta mbeleni.
 
Nchi ya Tanzania imelikubali hilo jina, lipo rasmi kisheria, watu wanalikubali kiutamaduni. Kimataifa ndilo linalojulikana.
Chini yote uliyo bandika ni tisa. Hayajalishi

Na kwa majibu yako hapo juu ina maana, hata kufikiria tusifikirie, kwamba hatuwezi kulikataa?

Kwasababu lipo rasmi kisheria na watu wanalikubali kiutamaduni na kimataifa;

unajua nilitaka kusema mantiki hiyo inafanana na kusema>

'Basi hata Kubadilishwa kwa jina la Tume ya Uchaguzi, kwenda Tume Huru ya Uchaguzi' Watanzania wameikubali, ipo rasmi kisheria na Kimataifa tume hiyo inajulikana'

Kwamba hao wachache wanaotaka mabadiliko wapuuzwe(hakuna muswada wala nn) kama vile unavyotaka tupuuzie rai ya mleta mada na Watanzania wengine kama mimi ambao tungependa kuona mizizi ya utumwa inaondolewa eti kwasababu tuna mengi yakuyafanya-au nitakuwa nimekosea kufanya/kusema hivo?

nonetheless,

Kwanini tume huru ibadilishwe na wakati tuna vipaumbele vingine vya maendeleo?

Hata hivyo nitakua natoka nje ya mada kuanza kujadiliana suala la tume huru wakati hapa sio pahala pake.

Swali langu ni hv, Kwanini unaona kubadilisha Dar kwenda Mzizima au Magomeni-you can have at it-ni kupoteza muda na rasilimali? Kama ambavyo CCM inafanya kuhusu Tume huru?

Je, huoni huko ni kupuuza maoni na hoja za wachache?

Hoja yako inaonekana kwamba hili sio suala la kupewa kipaumbele, na sidhani hata mleta mada anadai lifanywe kesho, yaan liwe kipaumbele.

Unatoa wapi hio notion?

Hakuna kesi yoyote ya kulipinga.

Hakuna muswada wa kuliondoa.

Ni kelele za watu wachache tu wasiojua priorities za mitandaoni tu hizi. Tena hapa JF tu.

Watanzania kiujumla wana matatizo mengi sana, lakini hili si moja ya matatizo hayo.

Mnajitungia matatizo ambayo hayapo myatatue wakati matatizo yaliyopo wazi hamyatatui.
 
Chini yote uliyo bandika ni tisa. Hayajalishi

Na kwa majibu yako hapo juu ina maana, hata kufikiria tusifikirie, kwamba hatuwezi kulikataa?

Kwasababu lipo rasmi kisheria na watu wanalikubali kiutamaduni na kimataifa;

unajua nilitaka kusema mantiki hiyo inafanana na kusema>

'Basi hata Kubadilishwa kwa jina la Tume ya Uchaguzi, kwenda Tume Huru ya Uchaguzi' Watanzania wameikubali, ipo rasmi kisheria na Kimataifa tume hiyo inajulikana'

Kwamba hao wachache wanaotaka mabadiliko wapuuzwe(hakuna muswada wala nn) kama vile unavyotaka tupuuzie rai ya mleta mada na Watanzania wengine kama mimi ambao tungependa kuona mizizi ya utumwa inaondolewa eti kwasababu tuna mengi yakuyafanya-au nitakuwa nimekosea kufanya/kusema hivo?

nonetheless,

Kwanini tume huru ibadilishwe na wakati tuna vipaumbele vingine vya maendeleo?

Hata hivyo nitakua natoka nje ya mada kuanza kujadiliana suala la tume huru wakati hapa sio pahala pake.

Swali langu ni hv, Kwanini unaona kubadilisha Dar kwenda Mzizima au Magomeni-you can have at it-ni kupoteza muda na rasilimali? Kama ambavyo CCM inafanya kuhusu Tume huru?

Je, huoni huko ni kupuuza maoni na hoja za wachache?

Hoja yako inaonekana kwamba hili sio suala la kupewa kipaumbele, na sidhani hata mleta mada anadai lifanywe kesho, yaan liwe kipaumbele.
Kuna post hapo juu niliongelea kuwa kitu kuwa kisheria haina maana kuwa ni sawa. Kwamba hata sheria inaweza kuwa mbaya.

Na ndiyo maana kwenye hili sikuishia kisheria, nimeendelea mpaka kiutamaduni.

Watanzania hawana tatizo na jina la Dar es salaam.

Wana matatizo mengi sana, lakini hili si tatizo wanalolifikiria.

In fact, kubadilisha jina ndiyo kunaweza kuwa tatizo. Kutahitaji fedha ambazo hawana, kutaleta confusion unnecessarily, kutagawanya watu, kutaharibu branding ya miaka mingi kwa sababu watu wengi wanaijua Dar es salaam tayari.

All that for what? Some woke identity politics Quixotic pursuit?
 
Tunabadilisha kwa sababu zingine, siyo kuondoa memory ya utumwa au ukoloni.

..hata kuondoa kumbukumbu za utumwa na ukoloni inaweza kuwa moja ya sababu za msingi za kubadilisha jina la Dsm.

..kama ilikuwa sahihi kwa Sultani kubadilisha jina la asili na kuita eneo hilo Dsm basi haitakuwa makosa na sisi kama taifa huru kubadilisha jina hilo.
 
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?

Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said

Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."

View attachment 3250594

Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Jamaa wewe ebu tueleze... Jina ndo linachangia tuwe na watu wenye changamoto za compos mentis wanaozorotosha maendeleo??
 
Kuna post hapo juu niliongelea kuwa kitu kuwa kisheria haina maana kuwa ni sawa. Kwamba hata sheria inaweza kuwa mbaya.

Na ndiyo maana kwenye hili sikuishia kisheria, nimeendelea mpaka kiutamaduni.

Watanzania hawana tatizo na jina la Dar es salaam.

Wana matatizo mengi sana, lakini hili si tatizo wanalolifikiria.

In fact, kubadilisha jina ndiyo kunaweza kuwa tatizo. Kutahitaji fedha ambazo hawana, kutaleta confusion unnecessarily, kutagawanya watu, kutaharibu branding ya miaka mingi kwa sababu watu wengi wanaijua Dar es salaam tayari.

All that for what? Some woke identity politics Quixotic pursuit?
Mlete hoja nadhani hajui matatizo ya wananchi ndani ya nchi yao!
 
Kuna post hapo juu niliongelea kuwa kitu kuwa kisheria haina maana kuwa ni sawa. Kwamba hata sheria inaweza kuwa mbaya.
Unaweza ukarudia kuiweka hapa👇
Na ndiyo maana kwenye hili sikuishia kisheria, nimeendelea mpaka kiutamaduni.
Offside
Watanzania hawana tatizo na jina la Dar es salaam.
Unasema tumpuuze mleta mada sio Mtanzania? Unasema na mm Nkaburu wa Zabanga, sio Mtanzania?
Wana matatizo mengi sana, lakini hili si tatizo wanalolifikiria.
sasa haya aliyoleta mleta mada yametoka wapi kama sio kwa Watanzania/Mtanzania?
In fact, kubadilisha jina ndiyo kunaweza kuwa tatizo.
...
Kutahitaji fedha ambazo hawana, kutaleta confusion unnecessarily, kutagawanya watu, kutaharibu branding ya miaka mingi kwa sababu watu wengi wanaijua Dar es salaam tayari.
Kama confusion ya Gulf Of Mexico?
All that for what? Some woke identity politics Quixotic pursuit?
Muulize aliyeleta mada anajibu ase.

Hata hivyo kuna kitu hakipo sawa mpaka hapa Uzi ulipofika.

Usiku mwema mkulu, nimepata majibu niliyokuwa natafuta. ASANTE🙏
 
Back
Top Bottom