Makorokoro Bondeni
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 1,300
- 1,969
Tunaenda na Dar es salaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sultani alianzisha kivipi mji wa Dar es Salaam kwani hapo hapakuwa na wenyeji? Au ndiyo yale ya ziwa Victoria kuvumbuliwa na mzungu?Jina la Dar es salaam tulishalikubali, tulikichukua na kulifanya letu, si la Sultani tena.
Ukishikilia kuwa ni la Sultani, wewe ndiye unampa Sultani umuhimu asiokuwa nao.
Pia, kihistoria Dar es salaam kama mji ni mji ulioanzishwa na Sultani. Hiyo ni historia ambayo haifutiki hata ukibadili jina.
Mimi nitapenda Kijazi Interchange ibadilishwe kuwa Ubongo Interchange, Mfugale Flyover ibadilishwe kuwa Tazara flyover.Mimi ni muumini wa historia na napenda sana majina ya sehemu yabaki kama yalivyokuwa ili tuweze kujua historia yetu. Hata mitaa ya Dar sidhani kama ilikuwa busara kubadilisha majina ya enzi zile. Nyumba pia walibomoa kwa makosa.
Haya ni Magufuli aliwapa watu wake badala ya wananchi kuamua wenyewe. Ujinga mtupu.Mimi nitapenda Kijazi Interchange ibadilishwe kuwa Ubongo Interchange, Mfugale Flyover ibadilishwe kuwa Tazara flyover.
Kulikuwa na kijiji cha wavuvi ndiyo hicho cha Mzizima.Sultani alianzisha kivipi mji wa Dar es Salaam kwani hapo hapakuwa na wenyeji? Au ndiyo yale ya ziwa Victoria kuvumbuliwa na mzungu?
Ukiliacha kuna kosa gani? Ukitaka kubadilisha Jina kisa lilitokana na neno la kiarabu basi utabadilisha vitu vingi kuanzia mavazi ( tulikuwa tukitembea uchi kabla ya wakaloni), makazi ( tulikuwa tunaishi kwenye mapango na nyumba za tembe), chakula, lugha zote za kigeni, njia za mawasiliano kama gari, simu n.k.sehemu gani official inapaita hivyo
Ndugu yangu, pamoja na maelezo yako na historia kuandikwa hivyo, Sultani alichofanya ni kuendeleza mji ambao tayari ulikuwepo (Mzizima) wala hakuanzisha mji mpya! Kwa sababu hakukuta pori pale!Kulikuwa na kijiji cha wavuvi ndiyo hicho cha Mzizima.
Sultan Majjid ndiyo akaweka administration ya kwanza ya kujenga mji, akajenga majengo.
Kasome "Dar Es Salaam. Histories from an Emerging African Metropolis"
Kitabu naki attach hapa tukisome tuchambue mambo kisomi kwa taarifa sahihi.
Nakusubir ulalamike na samia kutoa majina ya viongozi kwenye vituo vya SGRHaya ni Magufuli aliwapa watu wake badala ya wananchi kuamua wenyewe. Ujinga mtupu.
Makao makuu ya Tanganyika yalikuwa Mzizima.TWENDE NA MZIZIMA
Sultani alianzisha kivipi mji wa Dar es Salaam kwani hapo hapakuwa na wenyeji? Au ndiyo yale ya ziwa Victoria kuvumbuliwa na mzungu?
Mmenikumbusha ety wachagga walimpeleka Johannes Rebmann kwenda kuwa mtu wa kwanza duniani kuugundua Mlima Kilimanjaro 😂Kulikuwa na kijiji cha wavuvi ndiyo hicho cha Mzizima.
Sultan Majjid ndiyo akaweka administration ya kwanza ya kujenga mji, akajenga majengo.
Kasome "Dar Es Salaam. Histories from an Emerging African Metropolis"
Kitabu naki attach hapa tukisome tuchambue mambo kisomi kwa taarifa sahihi.
Neno Tanganyika limetungwa na nani?Makao makuu ya Tanganyika yalikuwa Mzizima.
Mkuu, ila Jina Dar Es Salaam Mimi Huwa linanivutia kuliko MzizimaJina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Dar es salaam ina maana ya Bandari Salama, kwa muda huo Sultan aliitumia bandari kufanya biashara ya kikatili ya kusafirisha babu zetu kwenda kutumikishwa kitumwa. Bandari aliyotumia haikuwa na bugudha, ilikuwa ni salama kwake na ilimtajirisha zaidi kupitia babu zetu.
Ni sawa na mbakaji anaeteka watoto wanaopita kwenye korongo, sehemu hio ikiwa ni salama kwake ataiita korongo salama, itashangaza sana baada ya mtu huyo kudhibitiwa watu waendelee kupaita korongo salama.
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, Babu zetu walipelekwa kulimishwa kimabavu mashamba ya Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Tumechelewa sana..tunaweza kubadilisha jina.
..Harare kabla ya uhuru wa Zimbabwe iliitwa Salisbury.
..Maputo kabla ya uhuru wa Msumbiji iliitwa Lourenco Marques.
..Na sisi tuna dhima ya kuondokana na Dar Es Salaam jina la kikoloni.
That’s history. Hatuwezi kuibadilisha!Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said, Jina hili linatokana na kiarabu lugha aliyotumia Sultan
Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."
Dar es salaam ina maana ya Bandari Salama, kwa muda huo Sultan aliitumia bandari kufanya biashara ya kikatili ya kusafirisha babu zetu kwenda kutumikishwa kitumwa. Bandari aliyotumia haikuwa na bugudha, ilikuwa ni salama kwake na ilimtajirisha zaidi kupitia babu zetu.
Ni sawa na mbakaji anaeteka watoto wanaopita kwenye korongo, sehemu hio ikiwa ni salama kwake ataiita korongo salama, itashangaza sana baada ya mtu huyo kudhibitiwa watu waendelee kupaita korongo salama.
Kuita jiji hili kubwa kwa jina la Sultan kunaambatana na kumbukumbu za historia yetu chungu ya utumwa wa masultan waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa, Babu zetu walipelekwa kulimishwa kimabavu mashamba ya Zanzibar, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao kama Marekani, utaowakuta ni waliohamia kuanzia miaka ya 70s
View attachment 3250594
Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Majjid alikuwa mraibu wa dawa za kulevya na mfanyabiashara ya watumwa.Kulikuwa na kijiji cha wavuvi ndiyo hicho cha Mzizima.
Sultan Majjid ndiyo akaweka administration ya kwanza ya kujenga mji, akajenga majengo.
Kasome "Dar Es Salaam. Histories from an Emerging African Metropolis"
Kitabu naki attach hapa tukisome tuchambue mambo kisomi kwa taarifa sahihi.
Tumechelewa sana
Hapana mkuu. Kuna tofauti kati ya mji na kijiji.Ndugu yangu, pamoja na maelezo yako na historia kuandikwa hivyo, Sultani alichofanya ni kuendeleza mji ambao tayari ulikuwepo (Mzizima) wala hakuanzisha mji mpya! Kwa sababu hakukuta pori pale!