Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

Tafuta chako Mali ya familia haifai. Epuka sana neno chetu tafuta chako sio chetu
Na akija kushtuka atakuwa kashachelewa, mi nina dada zangu nimewaacha wanachukua kodi miaka yote ila mpaka leo hakuna cha maana wamefanya, cha zaidi wanataka mimi ndo nikarabati nyumba tena!
 
Bajaji ni mali ya Mzee, muache afaidike nayo.
La sivyo, ungeinunua kama ilivyo na kuitengeneza au mngeingia mkataba kabla ya kuitengeneza.
Anafaidika nayo vipi ikiwa juu ya mawe?
 
Na akija kushtuka atakuwa kashachelewa, mi nina dada zangu nimewaacha wanachukua kodi miaka yote ila mpaka leo hakuna cha maana wamefanya, cha zaidi wanataka mimi ndo nikarabati nyumba tena!
Hatari sana Mimi mzee aliniambia nijenge Kiwanja Cha home aisee nilikaa nikafikiria nikasema huu ujinga najengaje nyumba ya familia yangu kwenye Kiwanja Cha mzee nikaona Bora nikaingie gharama ya kununua Kiwanja hata kikiwa kidogo vipi ilimradi kiwe changu na nijenge kwenye ardhi yangu ogopa sana neno chetu yaani mzee akishazeeka sana Hana pa kushika hata hiyo nyumba uliyojenga anaiona kama yake
 
Babako na dadakoo chuma ukete haooo wanataka ubaki masikni

ukiona awaeleki ondoka na spare moja baada ya nyingjnr
 
Babako na dadakoo chuma ukete haooo wanataka ubaki masikni

ukiona awaeleki ondoka na spare moja baada ya nyingjnr
Mjomba jitahidi siku Moja Moja uandike vizuri aisee yaani unaandika kama bata kaharisha
 
Uandishi tu unaonyesha hiki ni kisa cha kutunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…