- Thread starter
- #41
Nimenunua kwa mda tu Ila baadae nitaweka N35Ila hakuna bajaj inaweza kutumia battery ya N50 hiyo ni kubwa sana hata N40 bado ni kubwa. Angalia usije ukawa umepigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimenunua kwa mda tu Ila baadae nitaweka N35Ila hakuna bajaj inaweza kutumia battery ya N50 hiyo ni kubwa sana hata N40 bado ni kubwa. Angalia usije ukawa umepigwa
Labda bajaji yake inatumia engine ya 3rzIla hakuna bajaj inaweza kutumia battery ya N50 hiyo ni kubwa sana hata N40 bado ni kubwa. Angalia usije ukawa umepigwa
Mzee alishasema yeye Hana hela za kukarabati hizo nyumba na pia sio muumini wa kuwekeza kwenye majengo basi sisi kama watoto tumeamua kutafuta nyenzo ya kupata hela tuzikarabati ili zipande thamani ya kodinatamani ueleze vizuri hapa.
Mbona unamdharau hivyo mzee wako?
Mzee Hana umiliki yenye ana nyumba zake na mama alikuwa na nyumba zakeTatizo hoyo ni mali ya familia hasa baba ndiye mwenye umiliki. Ukishindwa kuelewana na baba wewe sepa tu ukaanzishe vyako.
Ila hakuna bajaj inaweza kutumia battery ya N50 hiyo ni kubwa sana hata N40 bado ni kubwaHeshima yenu! Wanajamii Jf!
Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!
Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai kwa wauza chips, migawahani, masokoni na kwenye maduka ya hommie accessories
(Yani laki moja kama mtaji wa trei 11 za mayai pamoja na 160k wa ajili ya kununua baiskeli ya kufanyia delivery)
Sikununua Ile baiskeli moja kwa moja nikapata wazo nyumbani kuna BAjAj nikitengeneza nawaza ikapiga kazi inaweza rudisha hela na nikawa na mtaji mkubwa plus kupunguza kuchelewesha delivery
Nikainunulia betri N50 pamoja na ufundi laki Ile hela ya mtaji wa mayii ikaisha.
BAJAj Ile imekaa miaka 10 ni aina RE toleo A la 2012 Ila imepaki toka Niko form one 2014-2024 nimepita vidato vyote hadi Chuo nimemaliza imepaki Ata mama kafariki mwaka Jana kaiacha.
Bajaji hii ilkua ni zawadi ambayo mama alipewa kama zawadi sababu ya kuwa muwekaji wa pesa mzuri katika Benk mojawapo! Giant aliitunza miaka kumi kwa ajili yangu!
Basi mimi niliitoa na kumkabidhi dereva bajaji mzoefu awe analeta kiasi cha 20k Kila siku huku namm najifunza Kila siku vifaa vyote vilvyo kwenye engine il nijue kipi kizima kipi kibovu sababu imekaa 10 years
Baba alinipinga sana nisitoe bajaji sababu hawaamini mafundi na Sina experience ya bajaji (baba yangu huwa hanisapoti kwa jambo lolote la mafanikio yangu)
Dada yangu nae akaja kunipinga kwanini nimetoa bajaji kwa mtu Bila kumshirikisha
(mimi siku taka kumshirikisha sababu yeye ni muoga wa kutake risk) Ila Sasa kashagundua amenipiga stop nisiguse chochote.
mimi niliitoa bajaji kwa kudhumuni la kupata mtaji na kusave kwa ajili ya kusaidiana na dada kukarabati nyumba za marehemu mama maana baba Hana msaada kwetu!,
Ila dada yangu amenizuia nisishike bajaji! Nimekaa nimetafakari nawaza kuondoka nyumbani. Niache Kila kitu nikatafte vyangu?? Ila ROHO inaniuma nyumbani kuna nyumba za kurekebisha zimechakaa dada yangu hawezi peke ake?,, je nikiondoka nikaamuachia majukumu yote nitakuwa sahihi?? Na kinachoniudhi nikuwa mimi naamini katika biashara za usafiri kama tax, Bajaj Ila ye haamini amenizuia lakini Nina malengo mazuri!
Nifanyeje nitelekeze nyumba nirudi dsm!! Au nibaki hommie!??
Ni kubwa sana kwa bajaj hata wiring yake inaweza isihimiliNimenunua kwa mda tu Ila baadae nitaweka N35
Kwanini usiondoke hapo nyumbani
Kukaa na watu wasiokupenda na waokupinga utapata stress na unaweza kuua focus.
So jaribu kuwa conscious Sana This is African families .
At ur age 24 unaweza hustle na ukapata kila kitu Kama kijana
Ni kweli Ila mimi nilikuja nyumbani sababu kuu mbiliKwanini usiondoke hapo nyumbani
Kukaa na watu wasiokupenda na waokupinga utapata stress na unaweza kuua focus.
So jaribu kuwa conscious Sana This is African families .
At ur age 24 unaweza hustle na ukapata kila kitu Kama kijana
Uliposema tu "Baba hajawahi kunisapoti kwenye jambo lolote la mafaniko yangu na Kwa maana Baba hana msaada wowote kwetu" basi nikaacha kusoma hii storyHeshima yenu! Wanajamii Jf!
Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!
Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai kwa wauza chips, migawahani, masokoni na kwenye maduka ya hommie accessories
(Yani laki moja kama mtaji wa trei 11 za mayai pamoja na 160k wa ajili ya kununua baiskeli ya kufanyia delivery)
Sikununua Ile baiskeli moja kwa moja nikapata wazo nyumbani kuna BAjAj nikitengeneza nawaza ikapiga kazi inaweza rudisha hela na nikawa na mtaji mkubwa plus kupunguza kuchelewesha delivery
Nikainunulia betri N50 pamoja na ufundi laki Ile hela ya mtaji wa mayii ikaisha.
BAJAj Ile imekaa miaka 10 ni aina RE toleo A la 2012 Ila imepaki toka Niko form one 2014-2024 nimepita vidato vyote hadi Chuo nimemaliza imepaki Ata mama kafariki mwaka Jana kaiacha.
Bajaji hii ilkua ni zawadi ambayo mama alipewa kama zawadi sababu ya kuwa muwekaji wa pesa mzuri katika Benk mojawapo! Giant aliitunza miaka kumi kwa ajili yangu!
Basi mimi niliitoa na kumkabidhi dereva bajaji mzoefu awe analeta kiasi cha 20k Kila siku huku namm najifunza Kila siku vifaa vyote vilvyo kwenye engine il nijue kipi kizima kipi kibovu sababu imekaa 10 years
Baba alinipinga sana nisitoe bajaji sababu hawaamini mafundi na Sina experience ya bajaji (baba yangu huwa hanisapoti kwa jambo lolote la mafanikio yangu)
Dada yangu nae akaja kunipinga kwanini nimetoa bajaji kwa mtu Bila kumshirikisha
(mimi siku taka kumshirikisha sababu yeye ni muoga wa kutake risk) Ila Sasa kashagundua amenipiga stop nisiguse chochote.
mimi niliitoa bajaji kwa kudhumuni la kupata mtaji na kusave kwa ajili ya kusaidiana na dada kukarabati nyumba za marehemu mama maana baba Hana msaada kwetu!,
Ila dada yangu amenizuia nisishike bajaji! Nimekaa nimetafakari nawaza kuondoka nyumbani. Niache Kila kitu nikatafte vyangu?? Ila ROHO inaniuma nyumbani kuna nyumba za kurekebisha zimechakaa dada yangu hawezi peke ake?,, je nikiondoka nikaamuachia majukumu yote nitakuwa sahihi?? Na kinachoniudhi nikuwa mimi naamini katika biashara za usafiri kama tax, Bajaj Ila ye haamini amenizuia lakini Nina malengo mazuri!
Nifanyeje nitelekeze nyumba nirudi dsm!! Au nibaki hommie!??
Naungana na wewe sehemu kubwa kasoro hapo mwisho,dogo akimbie kokote anakojua akajitafute akipata arudi,akikaa nyumvani atazeejea hapoBaba yako na dada yako wako sahihi. Wewe km msomi hufai kukurupuka ktk maamuzi yako. Nimesema ulikurupuka sababu km mama yako aliipata hiyo bajaji km zawadi akiwa anaishi na baba yako (MKE na MUME) jua kuwa hiyo bajaji ni mali ya baba yako na ndo mwenye ruhusa au ya kukupa au kutokukupa.
Issue ya baba yako kutoka support siyo kigezo cha wewe kuchukua mali za mke wake (mali zao) na kutumia unavyotaka. Unless tuambie km baba yako alikuwa ametengana na mama yako au walikuwa hawajaoana na mama yako wakati anapata hiyo zawadi ya bajaji.
Nikirudi kwa dada yako, pia yupo sahihi. Huwezi kumtenga kwenye maamuzi ya mali za wazazi wenu. Usichukulie kusoma kwako ukadharau ndugu au baba yako.
Mwisho, umesema umesoma hadi chuo kikuu, lakini nashangaa unawaza km mtu ambae hajasoma. Unawaza kuondoka nyumbani uwaachie kila kitu, je hapo unakuwa umemkomoa nani, na hapo utakuwa umejenga au umebomoa. Hivi ulisoma ENGLISH wewe. Ktk vitabu (literature) tuliambiwa "running away from a problem is not a way of solving it". Au wewe hukusoma ENGLISH.
Jaribu kutumia elimu yako kutatua matatizo siyo kuleta matatizo au mgogoro ktk familia.
Aiseee,jf kuna watuUnabaki na .majumba na bajaji akiamka mwingine mwendo uleule malizanaao
NiliadjustWewe muongo hujui hata size ya betri ya bajaji, Alafu inaelekea una vizarau flani kwa baba yako yatakukuta na wewe hivyo hivyo na gpa yako 3.2
Ninaweza ila dhumuni langu ni kutaka kuboresha mazingira hizo nyumba ili zije kuwasaidia wadogo zetu wawili wanaotufuata maana wote ni wakike last born n 14years Sasa ukihesabu 5 years to come ajira zitakuwa cheche kodi zitawasaidia wadogo zetuKama unaweza upambanaj ukiwa nje ya hapo nyumban ondoka,mali za familia sio za kugombania
Sawa,kila la kheri mkuu kwa mipango yakoNiliadjust
Ninaweza ila dhumuni langu ni kutaka kuboresha mazingira hizo nyumba ili zije kuwasaidia wadogo zetu wawili wanaotufuata maana wote ni wakike last born n 14years Sasa ukihesabu 5 years to come ajira zitakuwa cheche kodi zitawasaidia wadogo zetu
NB.SINA Nia ya kubaki nyumbani milele
Lakini mkataa kwao mtumwa