Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

natamani ueleze vizuri hapa.
Mzee alishasema yeye Hana hela za kukarabati hizo nyumba na pia sio muumini wa kuwekeza kwenye majengo basi sisi kama watoto tumeamua kutafuta nyenzo ya kupata hela tuzikarabati ili zipande thamani ya kodi
 
Mkuu ndio utuuzima huo sasa utaelewa kwanini familia za kiafrica zitaendelea kuwa misukule tu kwenye familia za kihindi na kiarabu asset management ni poor Kwa hizi familia za kibantu utasikia tu tafuta chako unaanza mmoja wakati wenzetu Wa Hindi na waarabu wanawaza kuendeleza nway pambana mkuu
 
Tatizo hoyo ni mali ya familia hasa baba ndiye mwenye umiliki. Ukishindwa kuelewana na baba wewe sepa tu ukaanzishe vyako.
 
Kwanini usiondoke hapo nyumbani

Kukaa na watu wasiokupenda na waokupinga utapata stress na unaweza kuua focus.

So jaribu kuwa conscious Sana This is African families .

At ur age 24 unaweza hustle na ukapata kila kitu Kama kijana
 
Ila hakuna bajaj inaweza kutumia battery ya N50 hiyo ni kubwa sana hata N40 bado ni kubwa
Nimenunua kwa mda tu Ila baadae nitaweka N35
Ni kubwa sana kwa bajaj hata wiring yake inaweza isihimili
 
Mali za familia zina shida sana nakushauri pambana Anza taratibu utafute chako kina heshima
 
Kwanini usiondoke hapo nyumbani

Kukaa na watu wasiokupenda na waokupinga utapata stress na unaweza kuua focus.

So jaribu kuwa conscious Sana This is African families .

At ur age 24 unaweza hustle na ukapata kila kitu Kama kijana

Kwanini usiondoke hapo nyumbani

Kukaa na watu wasiokupenda na waokupinga utapata stress na unaweza kuua focus.

So jaribu kuwa conscious Sana This is African families .

At ur age 24 unaweza hustle na ukapata kila kitu Kama kijana
Ni kweli Ila mimi nilikuja nyumbani sababu kuu mbili
A. kumsaidia dada yangu mzigo mkubwa wa kurekebisha nyumba za marehemu mama lakini mbili

B. kutumia hzo two resources Yan kupata mtaji ili nitoke nyumbani nikaanzishe yangu ambavyo ni

1.bajaji ya marehemu mama
2. Gari ndogo nifanye tax (nayo pia ni ya marehemu mama) Ina mwaka imepaki haina kazi Ila n mbovu Kwny board inahitaji laki Sita matengenezi irud barabani nikifanikisha na achana navyo
 
Uliposema tu "Baba hajawahi kunisapoti kwenye jambo lolote la mafaniko yangu na Kwa maana Baba hana msaada wowote kwetu" basi nikaacha kusoma hii story
 
Naungana na wewe sehemu kubwa kasoro hapo mwisho,dogo akimbie kokote anakojua akajitafute akipata arudi,akikaa nyumvani atazeejea hapo
 
Familia za kiafrika ni ngumu kuinuka sababu tumejaa husda,
Siwezi kujenga nyumba ya familia na ndg yangu hasa ikiwa ni jinsia tofauti siwezi katu bora nikatoe sadaka hiyo hela
 
Achana na mali za familia,zitoe kabisa kwenye akili yako,katafute vyakwako,

Dada yako na Baba yako wamekukazia coz hukuwashirikisha kwenye huo mpango wa Bajaji,

Mtaji wa mayai umeenda kutengeneza Bajaji bila kuwashirikisha,hilo ndio limewatia hasira,wameona umewadharau,

Kwa mtazamo wangu,Baba yako na Dada yako hawana kosa,ulikosea kutowashirikisha kwenye huo mpango wa Bajaji,jaribu kuongea nao kuhusu Bajaji,ikishindikana sepa hapo home ukajitafute.
 
Wewe muongo hujui hata size ya betri ya bajaji, Alafu inaelekea una vizarau flani kwa baba yako yatakukuta na wewe hivyo hivyo na gpa yako 3.2
Niliadjust
Kama unaweza upambanaj ukiwa nje ya hapo nyumban ondoka,mali za familia sio za kugombania
Ninaweza ila dhumuni langu ni kutaka kuboresha mazingira hizo nyumba ili zije kuwasaidia wadogo zetu wawili wanaotufuata maana wote ni wakike last born n 14years Sasa ukihesabu 5 years to come ajira zitakuwa cheche kodi zitawasaidia wadogo zetu
NB.SINA Nia ya kubaki nyumbani milele
Lakini mkataa kwao mtumwa
 
Sawa,kila la kheri mkuu kwa mipango yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…