Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

Nashukuru sana!!, umemaliza utata wote na kweli "hasira "wakati mwingine zinaweza kuwa hasara
 
Unaonekana una bidding mawazo ya kujituma bila kusukumwa. Ukielekeza nguvu hiyo kwenye mambo yako binafsi utafanikiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…