Ninaangalia Mawaziri wa fedha hata wa Nchi Wafadhili , sijawahi kuona mbwembwe za kishamba kama anazofanya Mwigulu anapoingia Bungeni kuwasilisha Bajeti ya serikali masikini ya Tanxania , hivi sababu ya mambo haya ya gharama kubwa ni nini hasa ?
Kwa mbwembwe hizi anazofanya Mwigulu Bungeni , nina hakika akiondolewa kwenye Wizara ya fedha ni lazima ajinyonge , Wallah tena ! hata Rais hajawahi kufanya kama anavyofanya huyu jamaa !
Hii ni Aibu ? Akemewe .
Mbona akina Dr Mpango na wengine hawakufanya hivi ?