Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

Toka bunge lianze kuingiza sifa za kumsifia rais, hata bajeti zimegeuka kukosa mvuto. Na muasisi wa hizo sifa za kijinga kwa rais ni dhalimu. Sasa hivi bunge ndio limezidi kugeuka kinyaa.
Sasa dhalimu si hayupo?
.
Vipi huyu rais wako mwema mwanademocrasia?
 
Mwaka wa 3 huu dhalimu wako hayupo!


Vipi huyu mwema wako.? Kashindwa kazi?
Nani amekuambia huyu mama ni mwema kwangu? Ninachojua sio katili kama dhalimu. Hutaki jinyonge.
 
Siyo katili sasa haya malalamiko yako yanatokea wapi?
Sijawahi kumsifia mwanaccm yoyote. Ila ukosoaji wangu kwao unalingana na mwenendo wa utawala wao. Kwangu dhalimu alikuwa ni shetani kwenye umbile la binadamu.
 
Back
Top Bottom