Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Elezea ameingiaje?Ninaangalia Mawaziri wa fedha hata wa Nchi Wafadhili , sijawahi kuona mbwembwe za kishamba kama anazofanya Mwigulu anapoingia Bungeni kuwasilisha Bajeti ya serikali masikini ya Tanxania , hivi sababu ya mambo haya ya gharama kubwa ni nini hasa ?
Kwa mbwembwe hizi anazofanya Mwigulu Bungeni , nina hakika akiondolewa kwenye Wizara ya fedha ni lazima ajinyonge , Wallah tena ! hata Rais hajawahi kufanya kama anavyofanya huyu jamaa !
Hii ni Aibu ? Akemewe .
Mbona akina Dr Mpango na wengine hawakufanya hivi ?
nakupuuza rasmiWewe hoja zipi unazo mtoto wa kyela?
Ninaangalia Mawaziri wa fedha hata wa Nchi Wafadhili , sijawahi kuona mbwembwe za kishamba kama anazofanya Mwigulu anapoingia Bungeni kuwasilisha Bajeti ya serikali masikini ya Tanxania , hivi sababu ya mambo haya ya gharama kubwa ni nini hasa ?
Kwa mbwembwe hizi anazofanya Mwigulu Bungeni , nina hakika akiondolewa kwenye Wizara ya fedha ni lazima ajinyonge , Wallah tena ! hata Rais hajawahi kufanya kama anavyofanya huyu jamaa !
Hii ni Aibu ? Akemewe .
Mbona akina Dr Mpango na wengine hawakufanya hivi ?
Kama humjui Nchemba utakuwa sio mtanzania. Fika Immigration ujielezeUmeelezea as if wote humu tunamjua huyo unaemuita mchemba
Mkuu nafanya kazi hapahapa immigrationKama humjui Nchemba utakuwa sio mtanzania. Fika Immigration ujieleze
Ebu dadavua kidogo namna au mbwembwe alizoingia nazo bungeni mkuuNinaangalia Mawaziri wa fedha hata wa Nchi Wafadhili , sijawahi kuona mbwembwe za kishamba kama anazofanya Mwigulu anapoingia Bungeni kuwasilisha Bajeti ya serikali masikini ya Tanzania , hivi sababu ya mambo haya ya gharama kubwa ni nini hasa ?
Kwa mbwembwe hizi anazofanya Mwigulu Bungeni , nina hakika akiondolewa kwenye Wizara ya fedha ni lazima ajinyonge , Wallah tena ! hata Rais hajawahi kufanya kama anavyofanya huyu jamaa !
Hii ni Aibu ? Akemewe .
Mbona akina Dr Mpango na wengine hawakufanya hivi ?
Nakipataje kiongoziKuna kitabu kimoja kinaitwa"Afrika inakwenda Kombo" kinaelezea kwa upana tabia za viongozi wa nchi za bara la Afrika kama hizi. View attachment 2658683
Sijawahi na kamwe sinto kuwa ccm.kila mtanzania anayezaliwa tayari ni mwana CCM
Asante sana Chiba One kwa kumpa somo maana sijui alikuwa anakimbizwaWatanzania mna tatizo kubwa la kufikisha habari..
Sasa umekuja kutuhabarisha na husemi kaingia kwa Mbwembwe gani sisi tutaota?
Maliza taarifa usiandike kama unakimbizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni wa ajabu..Ninaangalia Mawaziri wa fedha hata wa Nchi Wafadhili , sijawahi kuona mbwembwe za kishamba kama anazofanya Mwigulu anapoingia Bungeni kuwasilisha Bajeti ya serikali masikini ya Tanzania , hivi sababu ya mambo haya ya gharama kubwa ni nini hasa ?
Kwa mbwembwe hizi anazofanya Mwigulu Bungeni , nina hakika akiondolewa kwenye Wizara ya fedha ni lazima ajinyonge , Wallah tena ! hata Rais hajawahi kufanya kama anavyofanya huyu jamaa !
Hii ni Aibu ? Akemewe .
Mbona akina Dr Mpango na wengine hawakufanya hivi ?
Sijawahi na kamwe sinto kuwa ccm.kila mtanzania anayezaliwa tayari ni mwana CCM
aise. ni Kama tulikuwa kwenye luninga wote.huna hoja
Sijawahi na kamwe sinto kuwa ccm.kila mtanzania anayezaliwa tayari ni mwana CCM
Yuko sahihi 100%. Kiongozi wa kwanza kukuhudumia unapoishi ni kada wa CCM kindakindaki kwa maana ya wajumbe wa nyumba kumi. Kwa mfano ukitaka passport lazima uende na barua toka kwa kiongozi wa CCM (Mjumbe) wa mtaa wako. Hata kwenye kufungua akaunti benki huwa wanataka barua ya utambulisho toka kwa kiongozi wa CCM (Mjumbe)kila mtanzania anayezaliwa tayari ni mwana CCM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lile jamaa ni lisenge la grade A