Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

Mwigulu Rais 2015.Yale mawe yaliandikwa.
 
Sio wote tumeangalia alivyoingia.
Hebu tueleze na sie tupate faida
 
Kila nikiliona bunge napata kicheko-kichefu-dharau... Eti walikaa wakala maposho na mshahara mkuuubwa wakagonga meza kupitisha sheria
"Ukiua tembo utalipa faini 32,000,000 lkn tembo akikuua utapewa 1,000,000 (kamilioni)"
Kiufupi watu hawa tunaowalipa pesa nyingi kuliko watumishi weeengi serikalini wanatuambia
"Maisha ya tembo mmoja nimuhimu kuliko ya watanzania thelathini!!!
Alafu kunampuuzi ananiambia niwasikilize na niwaheshimu wabunge wanatuwakilisha wananchi!!??!?!.... Maishaaaa!
 
CCM haikwepeki. Ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo wewe pia.
 
Hili suala la bandari limewachefua sana watz. Angalia hata suala la bajeti watu hawana habari nalo kabisa.

NB. Tuliambiwa Lukuvi ni sukuma gang waliotaka kumpindua Samia asiwe rais. Inakuwaje kawa mshauri wake tena?
 
Shida ya huyu mama anashauriwa na mtu ambaye kwenye yake ya uongozi alifeli sana katika mambo mengi na nchi ilitaka kumshinda. Mtu huyo kakumbatiwa na mama. Hovyo kabisa
 
Hili suala la bandari limewachefua sana watz. Angalia hata suala la bajeti watu hawana habari nalo kabisa.

NB. Tuliambiwa Lukuvi ni sukuma gang waliotaka kumpindua Samia asiwe rais. Inakuwaje kawa mshauri wake tena?
Toka bunge lianze kuingiza sifa za kumsifia rais, hata bajeti zimegeuka kukosa mvuto. Na muasisi wa hizo sifa za kijinga kwa rais ni dhalimu. Sasa hivi bunge ndio limezidi kugeuka kinyaa.
 
Hili suala la bandari limewachefua sana watz. Angalia hata suala la bajeti watu hawana habari nalo kabisa.

NB. Tuliambiwa Lukuvi ni sukuma gang waliotaka kumpindua Samia asiwe rais. Inakuwaje kawa mshauri wake tena?
Adui amesogezwa karibu, Samia hampendi Lukuvi
 
Hili suala la bandari limewachefua sana watz. Angalia hata suala la bajeti watu hawana habari nalo kabisa.

NB. Tuliambiwa Lukuvi ni sukuma gang waliotaka kumpindua Samia asiwe rais. Inakuwaje kawa mshauri wake tena?
Watu wanapimwa uvumilivu Sasa IPO siku uvumilivu utatafutwa kwa tochi waache tu hayo Mambo ya BANDARI au vifungu vibadilushwe Kama wananchi wanvyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…