Toka bunge lianze kuingiza sifa za kumsifia rais, hata bajeti zimegeuka kukosa mvuto. Na muasisi wa hizo sifa za kijinga kwa rais ni dhalimu. Sasa hivi bunge ndio limezidi kugeuka kinyaa.
Sijawahi kumsifia mwanaccm yoyote. Ila ukosoaji wangu kwao unalingana na mwenendo wa utawala wao. Kwangu dhalimu alikuwa ni shetani kwenye umbile la binadamu.