Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Hizo pesa ziko wapi mbona maneno matupu?
Ujenzi wa mwendokasi kwenye barabara ya Moroco - Mwenge umefutwa au kusimamishwa, morogoro road wanasubiri pesa ili waendelee na ujenzi, Kituo cha mabasi Mbezi hakijakamilika, hawana pesa n.k

Tunaenda kujenga barabara za thamani ya 2trillion wamesema.

Nadhani waafrica tunaishi ndani ya dunia.
 
🙏🙏 Kwa Takwimu na uchambuzi murua tuu nakukubali mkuu,pamoja Sana.
 
Kwa hiyo unataka kila kitu wakuonyeshe huku kwetu hela za zahanati zimeshaingia zabuni za ujenzi zimeshatangazwa.
 
sasa mzee baba alikuwa anafanya nini? taarifa za kupika ni hatari kwa uhai wa taifa
Upigaji ,propaganda na uongo..Alikuwa anakamua ng'ombe asiyemlisha..

Miaka 6 iliyopita tulipigwa Sana,hususani sisi wa Kusini,magharibi na Nyanda za Juu hakuna hata mradi alifanya,alivyokuwa ndivyo kaacha bora JK alitukumbuka Sana.
 
Kwa hiyo unataka kila kitu wakuonyeshe huku kwetu hela za zahanati zimeshaingia zabuni za ujenzi zimeshatangazwa.
Acha porojo hakuna chochote kinachofanyika zaidi ya praise and worship zenu nyie wezi na mama yenu huyo.

Mngeanza hata kuchimba msingi msingetuonyesha nyie?
Zama za porojo utendaji sifuri.
Hebu mtujuze na pesa za Muungano zilizogawanywa nusu kwa nusu zimefanya kazi gani mpaka Sasa?
Tumerejea zama za porojo na kukwiba tu
 
Na hawana hata haya kwakuwa wanaamini wanawaongoza misukule.
 
Tumefanya nini waafrica mkuu?

Bajeti moja ya barabara|madaraja & Viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano​



#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Vinajengewa wapi?
Umekalia praise and worship tu.
Tuonyeshe hata site moja mnayojenga nyie wazee wa porojo
 
Kama hawawezi kuonesha, wasitutangazie. Wakae navyo tu, au mnadhani sisi ni brainless kama makada, kwamba kila msemalo sisi tutapiga meza na kuimba mapambio, tunageuka geuka kulingana na mgeuzaji?
Kwa hiyo unataka kila kitu wakuonyeshe huku kwetu hela za zahanati zimeshaingia zabuni za ujenzi zimeshatangazwa.
 
Kusifu na kuabudu.

Mi nilidhani haya mambo yameenda na mwendazake !!

Chama hiki kimewalemaza nguvu kazi ya taifa hili
 
Kila Rais ana vipaombele vyake,kama ni lazima kufuta wafute.

Kituo cha Mabasi wakati mnazindua si mlituambia kimekamilika na mkaalika Rais wa Malawi vipi tena mlisubiria Samia aje kuwakamilishia?

Hiyo ya Kibaha ni suala la tax na Kazi zilizoongezeka zimeongeza gharama ya ujenzi kwa hiyo serikali ilikuwa inajirishisha kabla ya kutoa pesa maana hamkawii kusema wameongeza bei Ili kupiga.

Mna midomo Sana nyie,mkuu tafuta kazi ya kufanya uzushi haitakusaidia.Kazi zinaendelea kwa kasi sana.

Mwisho Sio tuu bajeti ya Wizara ya imekuwa mara 2 bali ya Tarura imekuwa mara 3..Chief Hangaya Sio size yenu 👇

 
We coomer hio posho unayolipwa na kitengo cha praise team awamu hii usipojenga hujengi tena😅!!!

Naona maslahi mazuri maana daily hukauki humu na ngonjera za tumsifu!
Ngonjera ni zile za Mwendazake,humu ni facts na namba tuu.

Tunasomesha namba wazee wa legacy kama hivi yaani 👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…