Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Boss, kwahiyo kwa hayo maandishi ndio kazi zinaendelea? Kwamba wewe una kazi na wengine wazurulaji?

Hizi bajeti na mipango umeanza kuiona leo? Labda ukachukue za kuanzia mwaka 1995, kisha uniambie kila moja imetekelezwa kwa asilimia ngapi, kama chama kiliwahu badilika? Kisha uniambie wewe mfanyakazi mwanachama, kipi kitabadilika na kwa kuona viashiria gani tofauti.

Nimejipa kazi, kuuliza maswali inanitosha
 
Mkiwa na kiongozi mwenye uchuro na nchi inapata uchuro,SSH ana nyota just like this ,LPG hiyoooo loading 👇



 
Wapi ulipoona wewe Kazi zimesimama? Kama hujui kutafuta taarifa basi angalia hata tv.
 
Pamoja na mapambio yote hayo na sifa za kijinga bado haieleweki mama anakusudia kutupeleka wapi, yaani hakuna mwelekeo.
Kama huoni anakokisudia kutupeleka basi ngoja tutakuchukua tukupeleke kibra ukashikishwe ukuta hapo utaelewa uelekeo bila shaka.
 
Mafao ya PSSSF NA NSSF ya watu walipeni haki zao siyo mnayumba
 
Unapayuka tuu usiyoyajua,kuna siku uliwahi sikia serikali imekopa alafu haijasema hela itafanya nini?

Wakati mnakopa huku mnadanganya kwamba mnafanya kwa pesa zenu pesa mlikuwa mnapeleka wapi na hakuna mradi mliokamilisha kwa miaka yote 6?

We ni mjinga yaani subiria ndani ya miezi 6 by desemba utapata kuona vituo vya afya,madarasa ya tozo..

Kwa mfano huko kwako huoni Tarura wakijenga barabara? Umesikia popote saizi kelele za wabunge? Jibu ni wanaona matokeo.

Mumebakia nyie wajinga wenye chuki ndio mnajifanya hamuoni,sisi tutakuwa tunawaonesha namba tuu kama hivi 👇











 
acha siasa
 
Hivi wewe mpumbavu maneno ndo yanajenga? Huyo mtu wenu ana maneno mengi sana lakini ujinga ndo mwingi flyover ya hapo veta chang'ombe iko slow sana!
 
😅😅😅
 
Huyo ana chuki binafsi haangalii matokeo kwa hiyo achana nae mpuuze..

Tzn ina maelfu ya watu hako kamtu kamoja wewe kanakupa shida gani?
 
Wafanganye wajinga wezako hv tume ya Zambia uifananishe na hii ya mahela cjui mapesa?????
 
Wewe mwerevu tuambie miaka 6 mlikuwa mnafanya nini cha maana,weka figures hapa badala ya kulia huruma kama mtoto wa kima.
Wewe mpumbavu umejisajiri humu kupiga mapambio! Stupid kamlambe makalio huyo ndugu yako maana kila siku humu kelele tu!
 
 
LNG ilichelewa si sababu ya hakukuwa na watu wakuweza kujenga lakini kilichochelewesha ni "win win situation" ongeeeni ila mzingatie maslahi ya nchi sio kuwapa ila hatupati kitu.
Win win gani hiyo mnajadili miaka 6? Bila shaka Serikali ya Chief Hangaya iko makini maslahi yatazingatiwa .

But usitegemee 50/50 ndio ukajua ni win win situation hakuna kitu kama hicho..ukipata 20/80 na teknolojia,ajira na Kodi plus multiplier effects ni big progress hiyo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…