Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Mzee uko makini kama bomu la nyuklia,Chief Hangaya ni fire fire ๐Ÿ‘‡



 
๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ
 
Mama anatisha balaa,

Wapinzani wameufyata

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
Anatisha ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ
 
Taarifa zako zinaleta mgawanyiko kwa faida ya upinzani
Mmeanza kusogeza magoli, ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
Huyu mtu nampenda kiboko ya waongo,
Mlisema Samia hawezi kuongoza nchi tena tunagawanyikaje?
Lile Darasa la uongozi linaleta Mshikamano ?
 
Mmeanza kusogeza magoli, ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
Huyu mtu nampenda kiboko ya waongo,
Mlisema Samia hawezi kuongoza nchi tena tunagawanyikaje?
Lile Darasa la uongozi linaleta Mshikamano ?
๐Ÿคฃ๐ŸคฃMh.SSH alibezwa sana....ila muda utazidi kuongea.....

Watanzania wanaona.....

#SiempreSSH
 
Matumizi katika bajeti yakiongezeka kuna matokeo yafuatayo:
1.Kulipa madeni
2.Gharama za uendeshaji kuongezeka
3.Kuanzisha miradi mipya
Sasa mwanasiasa akiongea msikilize kama atakuwa amelenga upande upi katika vigezo hivyo hapo juu.
Mwisho wa siku utakuta "mambo ni yale yale" amebadilika msemaji wa kuelezea hisia za wananchi wa maeneo husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ