Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Saaalaaleee UNANISIMUA MWILI kwa matumaini makubwa mkuu wangu.....😍View attachment 1965801
 
Mbolea imepanda kutoka Tsh 60,000/ kwa kilo 50 mpaka 92,000/ kwa kilo 50. Unasemaje hapo?
 
Ccm imeshindwa kuondoa shida ya maji kwa miaka 60 sasa tangu uhuru, tusitegemee lolote la maana kutoka kwa mama huyu.
 
Uko sahihi Mwamba,

Samia hagusi hata mia
Tanzania imebarikiwa mno....

Bara hakuna kiongozi mwenye TAMAA KOKO.....

Visiwani hakuna kiongozi mwenye TAMAA KOKO...

Nilipata kumsikia mwanajeshi mmoja wa cheo cha Kati akimuongelea mh.Rais Hussein Mwinyi kuwa alipopata kufanya naye kazi kule "NGOME" Wizara ya Ulinzi hakupata kushuhudia/kusikia kuwa waziri huyo wa zamani "AMEKWIBA/AMEBEBA" hata kalamu ya OFISI....

HAO VIONGOZI WAWILI NI ZAWADI KUBWA KWETU WATANZANIA 😍
 
Hiki cha huku Kilwa mmeahirisha tena?
Sababu za mbolea kupanda bei mbona zinajulikana.....

UVIKO 19 umeathiri viwanda vya nje kutoizalisha kwa WINGI....hujalisikia hilo ?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…