Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Naona avarage wengi mnaangukia kati ya 10,000 na 20,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan ndugu yangu hiyo elfu 7 ambayo wwe unakula kutwa mi ndio napambana nipate nipeleke home ujuee!! Yan dahFunguka Mkuu sababu hakuna ajuae kila kitu.
Moja kati ya watu waongo waongo ni kundi la watu wanaotrade forex [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njaaa Kama yote ila kutwa kushinda kwenye mahotel kupiga picha za kupost mitandaoni kuonesha wanakula bata kumbe maisha magumu jua linawawakia mpaka mfukoni ...!Mwamba huyu hapaView attachment 2372517
Hayo matumizi hapana aiseeMoja kati ya watu waongo waongo ni kundi la watu wanaotrade forex [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njaaa Kama yote ila kutwa kushinda kwenye mahotel kupiga picha za kupost mitandaoni kuonesha wanakula bata kumbe maisha magumu jua linawawakia mpaka mfukoni ...!
Nimeona nifanye hivo pia kwa sababu na yeye aweze kupata pesa zake za pembeni.. Ningeweza kumpa elfu kumi kila siku, ila nyumba isingekuwa na amani...
Hapo najua kila mwezi atakuwa ame save sio chini ya laki moja.. Nna maana kwanini nafanya
Nimejisikia kukwambia fu**you bitchKati ya 2m an 1.5m kwa siku. Vyakula vyangu naagiza ulaya au america.
Acha kabisa mie mme wangu ameshindwa kabisa habar ya budget anatoa pesa anaeka kwenye pochi tumia ikikaribia kuisha unamwambia maana kila ukienda sokoni hakuelewekiWanawake wanajitahidi mno vitu vimepanda mno bei sasa hivi mchele mzuri kilo moja 3000,nyama 8000 ,samaki mzurii sangara 15,000 ,kuku mzuri 25000 wa kienyeji
Siku zingine mtakula maharage
Fanya hivi nunua vitu kama mchele,unga,mafuta,sukariAcha kabisa mie mme wangu ameshindwa kabisa habar ya budget anatoa pesa anaeka kwenye pochi tumia ikikaribia kuisha unamwambia maana kila ukienda sokoni hakueleweki
Inategemea siku na siku...5000-10000 ila vingine vipo tayariWe unaacha ngapi home?
Mi mchele nautoa Kyela kabisa hivyo napata kwa 2200-2300Wanawake wanajitahidi mno vitu vimepanda mno bei sasa hivi mchele mzuri kilo moja 3000,nyama 8000 ,samaki mzurii sangara 15,000 ,kuku mzuri 25000 wa kienyeji
Siku zingine mtakula maharage
Naam tunafanya hivyo maharage nachemsha kg 2 kwa mwezi inatosha samaki na kuku na nyama naweka pia kwa freezer na mainj, zile pesa za siku ndo hua sijui budget yake maana kila siku mpya ina mambo yake.Fanya hivi nunua vitu kama mchele,unga,mafuta,sukari
Vikiwemo hivi unabakiza pesq ya mboga na unapija maharage mengi unapaki unaweka kwa freezer inasaidia sana ,
Mim hupika maharage,ndegu napaki kwa friji,inasaidia usiku maana watoto wanapenda maharage na wali usiku
Nyama nunua banika au unaichemsha na viungo kisha unaigawanyisha
Iwe kuku au samaki unapaki kwa friji unatoa unapika
Mboga za majan unanunua tu kila siku maana wanatembeza
Nunua dagaa nyingi paki inasaidia sana ,ukipija zako dagaa na matembele ya kutosha mbona mchana mnakula vizuri tu ,usiku wali na ndondo
Siku nyingine mnajiachia na kuku na pilau,bajet zetu maskin hizi
Soseji si nzuri kwa afyaWatu wawili ,
Nanunua vitu vingi vya mwezi ,mchele,unga,sukari,mafuta,mayai,maziwa,samaki,kuku,nyama,dagaa,soseji,tambi,viungo vya kupikia,mboga za majan buku kila siku,soda nanunua chache za mtoto maana najijua ,matunda
Vingine kama maharage na ndegu,choroko napika napaki naweka kwa friji,
Bado king’amuzi ,umeme,maji ,vocha ,kufuliwa,usafi tunafanya wenyewe
bado hatujala chips vumbi na mishikaki au kutoka tu
Mim huwa nna shida mmoja nikienda mjini lazima ninunue vikorokoro tu vinanimaliziaga hela [emoji23][emoji23]
Wanawake tuna vitu vingi mno tunapenda kununua hasa vya ndani urembo,hapo bado lotion za kupaka,perfume,dawa za mbu,sabuni za vyoon
Kwa siku siwez jua natumia ngapi maana kila kitu kinakuwa ndani vile vya muhimu
Haishauriwi unga kukaa muda mrefu, angalau ukae wiki tu maana mahindi yetu huwa yana madawa hivyo yatakiwa kuoshwa vizuri, yakaushwe afu yasagwe. Wengi hatukaushi hivyo ule unyevu nyevu husababisha unga kuharibikaMim nakoboa unga 15,000 nachanganya na kisado cha muhogo nakula miezi miwili maana sipendi ugali kiukweli kila siku,wanaomaliza ni wageni [emoji23][emoji23]
Mchele 25 kg miez miwili,nikienda mirongo nyanya ,vitunguu ,viungo bei ndogo tu vingiii kweli maisha yanasonga
Pole sana ajira ni tatizo la taifa utapata tu siku moja
Maji sehemu kama Dsm ni bei ndogo sana hayo ya Uhai, Afya, Msafi etsKuna familia zinatumia zaidi ya hiyo mkuu nishaenda kwa ndugu zangu hawamcheshi maji wananunua ya dukani na familia ni kubwa ,kuna chumba ukiingia matikiti yamejaa utafikiri yanauzwa,
Kuna watu wana hela wee
Maziwa watakiwa unywe lita 250 kwa mwakaMaziwa,mayai yanatakiwa yawepo kuna hata hunywi maziwa kila siku sababu yananenepesha ,ni unaweka kwa maharage,kztengeneza custard,keki, kupikua chapati
Mara moja moja wee tamu
Siwez kunywa kila siku yananinepesha sana,maziwa ya mgando kila siku sawaMaziwa watakiwa unywe lita 250 kwa mwaka
Mayai watakiwa kila siku ule yai 1
Hii ni kwa maelezo ya WHO
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app