ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Tafuta pesa elimu ni utumwa wenye vigezoKupitia vugu vugu la Bandari nimegundua Viongozi wengi wa Dini na Wananchi hawana elimu. Mashehe ndio kabisaa hawana uelewa wa kuelewa na kudadavua mambo nyeti ya nchi hii.View attachment 2723481
Elimu bila pesa ni makelele , mwenye pesa anaheshimika na jamii kuliko mwenye elimuUtajiri siyo elimu, maana imethibitika kwamba wengi wenye elimu hawala pesa ila wasio na elimu wana pesa. Tuseme hata kitabu cha Robert Kiyosaki cha 'Rich Daddy, Poor Daddy' hujawahi kukisoma?
Halafu utajiri mwingine unatokana na MAJINI. Na kwenye dini yenu majini ni waumini wenzenu. Na jini kukupa utajiri haliweki kigezo cha elimu.
Namna ya kutengeneza fursa na kuzitumia kwa ubora wa hali ya juu sanaKigezo cha kuwa tajiri ni nini?
Muhindi kaishia darasa la 7 anakutumika anakulipa laki 5 , huo si utumwa huo?Tafuta pesa elimu ni utumwa wenye vigezo
Jamii za kijinga ndo humheshimu mwenye pesa na kumdharau mwenye elimu. Hata hivyo, leo dunia inawatambua sana akina Socrates, Aristotle, Newton,n.k (wasomi). Je, kwanini jamii haiwakumbuki matajiri wa enzi hizo walioishi sambamba na hao niliowataja?Elimu bila pesa ni makelele , mwenye pesa anaheshimika na jamii kuliko mwenye elimu
mkuu utajiri wa mengi umekusaidia chochote.....au utajiri wake ulikua kwa ajili ya dini or wa kwakeHao ni waarabu kenge wewe..nitafutie muislamu mweusi tajiiri km alivyokuwa Mengi.
Hakuna jamii isio mkumbuka mwenye pesa wewe ndio hujui, ukiwa na pesa unaleta wasomi unawapa kazi una walipa mshahara , na wewe unakuwa boss, wewe hata kama umesoma vip huna thamani mbele ya mwenye pesaJamii za kijinga ndo humheshimu mwenye pesa na kumdharau mwenye elimu. Hata hivyo, leo dunia inawatambua sana akina Socrates, Aristotle, Newton,n.k (wasomi). Je, kwanini jamii haiwakumbuki matajiri wa enzi hizo walioishi sambamba na hao niliowataja?
Kama ni hivyo kilaUtajiri wa mashetani ya baharini bullsh**
Kwa nini wakristo tunashindwa? Ni mafundisho ya Viongozi wetu wa kidini au?Namna ya kutengeneza fursa na kuzitumia kwa ubora wa hali ya juu sana
We jamaa mbona una akili ndogo sana, kumbe kuwa tajiri ndo kuwa na elimu? Pumbavu sana.Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?
Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
KikweteHao ni waarabu kenge wewe..nitafutie muislamu mweusi tajiiri km alivyokuwa Mengi.
Sasa unabishaje wakati Mimi ndo nimekwambia Mimi ni Mkristo tena mkatoliki?We jamaa mbona una akili ndogo sana, kumbe kuwa tajiri ndo kuwa na elimu? Pumbavu sana.
Halafu we sio mkristo Mara nyingi nakuona humu unatetea dini dhaifu ya kiislamu. Usijipe ukristo.
Walimu wako ilibidi walipwe hela ya ziada. Sio kwa ukilaza huu!Niwekee Top Ten ya Matajiri hapa Tz tuanzie hapo
Utajiri unatokana na wizi.Kikwete
Utajiri hauhusiani na elimu, kuna mtu hapo juu amekupa maelezo mazuri kuhusu utajiri. Kiufupi utajiri na umasikini havihusiani na dini. Kama hulitambui hilo baki na ujinga wako.Sasa unabishaje wakati Mimi ndo nimekwambia Mimi ni Mkristo tena mkatoliki?
Ninavyojua mimi matajiri wa nchi hii wengi ni waislamu, wachache waliopo ni Wakristo tena hata sio wakatoliki wenzetu. Alikuwepo Dr Mengi Mlutheri na Dkt. Macha pia ni Mlutheri
Sasa nisaidie wewe. Hiyo elimu ya Viongozi wetu wa kikatoliki mbona haitusaidii kuwa Matajiri kama hawa kina Mo, Bakhera, Rostamu na wengineo?
Huna hiyo Top Ten nikusaidie?Walimu wako ilibidi walipwe hela ya ziada. Sio kwa ukilaza huu!
We mwenyewe umeona list ya hao matajiri wako imejaa Wahindi na Waarabu. Hiyo ni ishara kwamba utajiri wao unabebwa na race yao (wana akili ya biashara) na siyo dini yao ya Kiislamu. Maana kama dini ndo inampa mtu utajiri basi Waislamu weusi pia wangekuwa kwenye top ten yako ya matajiri.Sasa unabishaje wakati Mimi ndo nimekwambia Mimi ni Mkristo tena mkatoliki?
Ninavyojua mimi matajiri wa nchi hii wengi ni waislamu, wachache waliopo ni Wakristo tena hata sio wakatoliki wenzetu. Alikuwepo Dr Mengi Mlutheri na Dkt. Macha pia ni Mlutheri
Sasa nisaidie wewe. Hiyo elimu ya Viongozi wetu wa kikatoliki mbona haitusaidii kuwa Matajiri kama hawa kina Mo, Bakhera, Rostamu na wengineo?
Mleta mada amewasema masheikh hawana elimu kwa kuwadharau. Nimemjibu kama hawana elimu mbona wao ndo wanaongoza waumini ambao ndo wanaongoza kwa utajiri Tanzania tofauti na maaskofu wetu wa kikatoliki?Utajiri hauhusiani na elimu, kuna mtu hapo juu amekupa maelezo mazuri kuhusu utajiri. Kiufupi utajiri na umasikini havihusiani na dini. Kama hulitambui hilo baki na ujinga wako.
Pro Shivji ni mkristo?
Baki na ujinga wakoNi kafiri wa Ki-Shia.