Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

Elimu wanayo mkuu.

Ila tatizo ni kua wale wanaotoka mbele na kuwasemea ndo elimu dunia nadhani hawana. Kuna uzi humu jamaa anasema wao ili kua kiongozi hawaangaliievels za elimu dunia bali levels za dini yao..

Na ndio maana unaona wao wanatumia sana mic na sio kalamu.

Wasomi kote wapo mkuu ni vile tu wao wanaopata nafasi ya kutoa nyongo ndo hao sasa.
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Hakuna uhusiano wowote wa kuwa tajiri na kuwa na elimu.
Basi wabaki na utajiri wao, mambo yanayohitaji elimu wayanyamazie maana wakifungua mdomo ni aibu.
 
Tujichunge na hizi posti zenye lengo la kutugawa na kusambaza sumu
 
Huyo Dr Macha usitudanganye hapa kwamba ndo Mkristo tajiri kisa kuwekeza bilion 7 DSE!
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Kuzalisha matajiri? Kwa hiyo utajiri wao ni kutokana na mashehe?
 
Umekaa sana jela jumlisha mabangi yaani ushakuwa kichaa😅😅
 
Utajiri hauna mahusiano ya moja kwa moja na Elimu wewe pumbavu.
Elimu na phd za nyeto. Hao ma padri wanashindwa kudadavua miili yao mungu aliyewapa. Wataweza kudadavua mkataba wa bandari?

Mapadri wanakosa uelewa wa kujua uume wamepewa na Mungu kwa ajili ya kazi gani, wanawezaje kuwa na ufahamu wa bandari?

Hao mapadri wamesoma lakini hawaja elimika.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
 

Attachments

  • ee1d182305a30d7b43bd2911de0a77fc.jpg
    7 KB · Views: 4
Watanzania amani mmeichoka eti eeh?
 
Kama mashekhe hawana elimu basi wasingezalisha matajiri namna hiyo?

Sisi wakristo tumezalisha matajiri gani kuwazidi wao?
Sasa hao matajiri wanawasaidia nini kama ata kwenye Elimu hawawekezi?
Kuna utajiri wa Majini pia Sheikh,usihadaike sana na utajiri,utajiri una siri nyingi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…