Hizo story za mariam na Yosef walizopatia degree mapadre,hao masheikh wamezisoma vizuri tu tena critically,kiasi padre hawezi simama na mazinge wajadili bibli
Kwa kweli mimi waislamu siwaelewagi coz asilimia kubwa ya muslim wana fikra fupiππππ Apo ndipo napo idharau dini yenuππππ yani mazinge ajadili bibilia are you serious πππ
Watafanya niniπππHao BAKWATA Tuwaache jamani waendelee kulala, na Kumhubiri Mtume na kula Daku.
Maana siku wakiamka, Hapata tawalika.
Sio kweli waislamu ni wachache sana Tz ni 18.5% ya watu wote Tz Tanzania wanaomtambua kuwa YESU ni bwana na mwokozi ni 67% na wengine kama unavyojua wwBAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo manenoπ€£π€£π€£akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Waislam wakiona misikiti imejaa tanga,lindi na pwani wanajua wako wengi,shame on themSio kweli waislamu ni wachache sana Tz ni 18.5% ya watu wote Tz Tanzania wanaomtambua kuwa YESU ni bwana na mwokozi ni 67% na wengine kama unavyojua ww
Maana ya "elimu" inategemea na mtoa hoja!TEC ni wajuzi zaidi hilo liko wazi,sababu elimu iko kichwani huwezi linganisha wa BAKWATA waliokariri kiarabu
Jidanganye ,nafikiria hata sharma za eid na pasaka unaona mwenyewe....π€£π€£Tafute askofu wako wavaa majoho ya usaliti kwenye harakati za uhuru. Waoga hapo kiufupiSio kweli waislamu ni wachache sana Tz ni 18.5% ya watu wote Tz Tanzania wanaomtambua kuwa YESU ni bwana na mwokozi ni 67% na wengine kama unavyojua ww
Sasa wewe ukariri kiarabu alafu ushindane kwa hoja na msomi wa degree,masters na PhD?Maana ya "elimu" inategemea na mtoa hoja!
Tangu Uhuru, Tanzania HAIJAWAHI kufanya sensa ya wafuasi wa dini. Wewe umeitoa wapi?Sio kweli waislamu ni wachache sana Tz ni 18.5% ya watu wote Tz Tanzania wanaomtambua kuwa YESU ni bwana na mwokozi ni 67% na wengine kama unavyojua ww
Wafahamu kuwa haki huinua taifa.Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Tahrir square, wazungu hawakuja kulinda amani. Yalikuwa mapinduzi ya wananchi wenyeweBakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Mjomba waislamu wamejazana mikoa iliyoko kando kando ya bahari,lindi,tanga,mtwara,dsm ni 50-50,nenda kanda ya ziwa hao waislamu utawatafuta kwa tochi nenda kaskazini na kusini mwa nchi uone namba ya waislamu ilivyo chacheJidanganye ,nafikiria hata sharma za eid na pasaka unaona mwenyewe....π€£π€£Tafute askofu wako wavaa majoho ya usaliti kwenye harakati za uhuru. Waoga hapo kiufupi
Kaka hawategemei shuguli zao 100%, tunajuaje, some of them ziaranzilikuwa hazikauki ofisin mwa viongozi, na wakienda hawatoki bure.Tangu lini viongozi wa kiislam hutegemea mshahara!?..wao Wana shughuli zao,wale wala bure kule parokia ndiyo inabidi wawe karibu na dola
Waislamu wapo kila kona ...Wapo watu hawana dini hasa mikoa ya kanda ya ziwa ... Waislamu wana sauti tangu nyinyi bado ni washamba ...Kiufupi waislamu wana nguvu hata harakati za uhuru nyie mlikuwa bado mazuzu ..Mikoa yeni ni ya juzi hapa ilikuwa ni washamba mnaishi porini.π€£Mjomba waislamu wamejazana mikoa iliyoko kando kando ya bahari,lindi,tanga,mtwara,dsm ni 50-50,nenda kanda ya ziwa hao waislamu utawatafuta kwa tochi nenda kaskazini na kusini mwa nchi uone namba ya waislamu ilivyo chache
We umeishia darasa la ngapi ndugu,coz naona uelewa wako ni wa darasa la tatu FWaislamu wapo kila kona ...Wapo watu hawana dini hasa mikoa ya kanda ya ziwa ... Waislamu wana sauti tangu nyinyi bado ni washamba ...Kiufupi waislamu wana nguvu hata harakati za uhuru nyie mlikuwa bado mazuzu ..Mikoa yeni ni ya juzi hapa ilikuwa ni washamba mnaishi porini.π€£
Wakristo hawana nguvu ,labda wewe una matatizo ya akili ...Huku kanda ya ziwa na sherehe za mavuno sio za kikristo ...Nimekaa huko so usileta ushamba wako hapa...We umeishia darasa la ngapi ndugu,coz naona uelewa wako ni wa darasa la tatu F
Wana ccm kindakindaki haoBakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Kama Jumuiya ya Waislamu inabidi muige mfano wa Kanisa Katoliki, jengeni shule kama 2000 hivi , Vituo vya Afya hata 1000 na vyuo vikuu visipungue 20 mbona tutasikilizana vizuri tuBAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo manenoπ€£π€£π€£akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Hatufanyi biashara ,vituo vipo kila kona π€£π€£π€£Tuna bank hazina riba ...Nyie bank zenu zina riba ,wewe mwenyewe hauna pesa wa kumsomesha mwanao hizo shule...Usiwe taahira hizo ni biashara hazitakiwi kwny uislamu...Kama Jumuiya ya Waislamu inabidi muige mfano wa Kanisa Katoliki, jengeni shule kama 2000 hivi , Vituo vya Afya hata 1000 na vyuo vikuu visipungue 20 mbona tutasikilizana vizuri tu