BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

Ww acha undezi kujifanya uislam ni dini ya baba yako ...Uislam ni dini huru mtu yeyote akiupenda anakaribishwa wala si dini ya ungomvi ila wamatumbi km nyie ndo mbaifanya km ya babu yenu na kuwaona wengine ni hawafai

Hiyo aya hapo chini si umeielewa? Maana haijaletwa na mmatumbi lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…