On the same page Mkuu, Kenya mwezi umeonekana.
Mkuu katika mambo magumu ambayo yalinichukua kufanya maamuzi ni suala la mwezi.Kama kuna kitu ambacho huwa sikielewi kwenye uislamu wa Tanzania ni kuhusu kuandama mwezi.
Yaani mwezi umeonekana Kenya, halafu Tanzania wanaogopa kula Eid.
Sijui tunakwama wapi?
Kwa hiyo Kenya kesho ni Eid?
Qadhi wa kenya hajatangaza mwezi kuonekana.Yep!!
HhhhPicha ya mwezi ukiandama iko wapi.. ??hhhh.
Sisi kesho tunasali mkuu.Nafikiri wale answar sunna kesho mambo moto....
Leo raha sanaHabari wadau..!
Kwa wale waliokuwa wanatarajia kwamba kesho ni sikukuu shekhe mkuu kashatoa tamko kwamba mwezi haujaandama .
Hivyo kesho sio siku kuu ,watu waendelee kufanya maandalizi .
Qadhi wa kenya hajatangaza mwezi kuonekana.
Kehso kenya hakuna iddi ambayo itakuwa imetangazwa na qadhi.
Isipokuwa wale wenzangu na mimi wa mwezi wa popote ndo tutakula iddi.
Hamna shida tunaenda kuswali tunarudi job huku nyumban wakikaanga kikiiva natoroka na ndio siku itakuwa imeisha hyoduuuh.... kwa hiyo Suni wanatakiwa kuwepo kazini kesho hata kama w
duuuh.... kwa hiyo Suni wanatakiwa kuwepo kazini kesho hata kama wanatambua ni Idd
anatambua ni Idd
Za miaka ilopita nnazo,Hhhh
Kama ni picha ya mwaka jana au juzi utajuaje ?