Sawa SheheKwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
TEC hawaeleweki au wewe ndio huwaelewi??Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Kwenye LDCs kuunga mkono serikali ni basic requirement of success. Kingine mzungu akisema kabaguliwa sio issue kubwa kama mweusi au Asian akisema kabaguliwa. Kwa hiyo victim siku zote ana haki kuwa victimized lakini anaeonekana superior akiwa victim inaonekana anastahiliMbona BAKWATA wako front kabisa wanasimama na CCM na haionekani ni mfumo Islamu au serikali iko chini ya Uislamu ?
TEC wangejitokeza waseme hawaungi mkono uchaguzi na kuwasihi waumini wake wasishiriki huo uchaguzi kwa sababu ni sham ingekuaje ni mfumo Kristo au Serikali kuwa chini ya Kanisa? Mbona BAKWATA walitoka wazi hadharani wakaweka msimamo wao na kuhimiza waumini wao kushiriki uchaguzi??
Unaongea pumba kama unawaza kwa mkuundu. Kwan umeambiwa TEC ipo kwa ajili ya kutoa marais madarakaniLidude likubwa lkn limeshindwa hata kumtoa Samia tu mwenye elimu ya Madrasa na kumweka Lissu wao!
Sio tech sheikh!Hao hao tech wamepotea, bado wapo katika ujahili
Bakwata kama wanatumika kisiasa, na hawapo kwa ajili ya waislamu basi watakua na majibu mbele ya Mwenyezi Mungu.
ayat 64 from Surah Al-Ankabut
﴿وَمَا هَٰذِهِ الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَهْوٌ وَلَعِبٌ ۚ وَإِنَّ الدَّارَ الْآخِرَةَ لَهِيَ الْحَيَوَانُ ۚ لَوْ كَانُوا يَعْلَمُونَ﴾
[ العنكبوت: 64]
Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao na mchezo. Na nyumba ya Akhera ndiyo maisha khasa; laiti wangeli kuwa wanajua!
Ungekua na aikili kidogo tu ungetambua BAKWATA ilianzishwa na Serikali ili kuwadhibiti Waislamu.Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Hayo yote ni sawa ila inawezekana BAKWATA ikiamua kutounga mkono CCM na serikali.Kwa Wale msiojua Historia.
BAKWATA ilianzishwa na Mwalimu Nyerere, Mark Bomani na ma shehe wenye njaa kwa lengo la Kuwagawa Waislamu. Na kuwamaliza Nguvu zao.
Kupata Degree BAKWATA ni sawa na Kutafuta Bikra wodi ya wazazi.
Tuchukulie kwamba ulichokiwaza,kuona na kuandika ni kweli.Ni tawi tegemeo la CCM na wanufaika wa kodi za wavuja jasho wa Tanganyika.Sasa,turudi kwenye matokeo.Nini kimetokea kwa BAKWATA kujiunga na ushetani wa CCM?Wameisaidia nini nchi?Wameokoa kipi?Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Kama ndivyo ililengwa kwa miaka hiyo,je,bado BAKWATA ya namna hiyo inahitajika leo hii?Kwa Wale msiojua Historia.
BAKWATA ilianzishwa na Mwalimu Nyerere, Mark Bomani na ma shehe wenye njaa kwa lengo la Kuwagawa Waislamu. Na kuwamaliza Nguvu zao.
Kupata Degree BAKWATA ni sawa na Kutafuta Bikra wodi ya wazazi.
Kwa akili yako ya utu uzima kabisa,unadhani nani wapo sahihi?Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Wewe nawe Sasa kibaraka wa CCM anakuwaje na ushawishi?Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Laiti ungejua nguvu za TEC.Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Ulitaka wapindue serikali?. Wameenda ikulu kupeleka madai yao, Bado unawalaumu.Ukubwa wake uko kwenye nini?
So far hawawezi kuonyesha action wamesaidia au wamechangia hatua zipi kubadilisha mambo tofauti na wasio madude makubwa.
Mbona msimamo wanao mpaka wakatumia watu wasio julikana kumshambulia Dr KitimaWawe na msimamo.