BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Kila kitu kiangaliwe mazingira wengine wana miaka13 umbo kubwa ataki kusoma na ameanza balaa kitaani, katokea MTU wa kumuoa na mwenyewe kakubali je? Apo vipi. Wengine umri uo bado watoto kabisa ata kuvunja bado .
Kila kitu kifanyike kikiwa tayari.
 
Nyie kubalini watoto wenu waolewe katika umri huo alafu baadaye mje mseme mnataka haki sawa na Wanaume ambao wakati watoto zenu wanaolewa wao wanakuwa wanaendelea kubukua kitabu kuzitafuta Masters degree na PhD.

Na mzazi atakayekubali Binti yake wa miaka 14 kuolewa atakuwa Lofa mkubwa 😡
 
Unamaanisha watoto wote wamalizao la Saba huenda sekondari?
 
Nimeona imeandikwa miaka 14,we 12 umetoa wapi!?
Niliku namjibu bibi Faiza amesema ikiwezekana hata miaka 12 waolewe, hata huvyo 14 bado ni watoto na hawajamaliza hata masomo ya sekondari
 
Nadhani ungemjibu hoja yake bila kupanic hao mabinti mnao sema ni wadogo huku mitaani wanafanya ngono na watu wazima wenye umri kama wa kwako, mm nadhani hoja yake iko hapo.

Kama mnazuia wasiolewe kwa sababu ni wadogo pia zuia wasifanye ngono za kiholela.
 
Mzee wa papuchi mwenyewe alioa mtoto wa miaka tisa.

Ao watu wa mnyazi wanachowaza ni mbususu tu na namna ya kuzichakata

zikiwa za motomoto.
[emoji2][emoji2][emoji2] hili linahitaji ufafanuz asee naona linazungumziwa sana
 
Mmmh, hizi dini hizi. Kwaiyo sheikh mwanae akivunja ungo na miaka tisa anamuozesha
 
Sisapoti binti mdogo kufanya ngono, ila kuna tofauti Kati ya kufanya ngono na kuwa mke wa mtu…kuwa mke wa mtu kuna majukumu mengi kuliko kufanya hicho kitendo….mtoto anaeza kuhimili kitendo lakini sio majukumu ya ndoa na familia na swala la uzazi kwa ujumla
 
BABA YAO MTUME MWAMEDI ALIOA MTOTO WA MIAKA SITA 6 YEARS.

Hawa wanawaza NGONO shenz kabisa
 
Wewe umeona mzazi gani au mwanajamii gani anafurahia au anahamasisha mwanae afanye ngono? Tena jamii za Pwani ndiyo zinawa expose na kuwajengea mazingira ya ngono watoto kwa tamaduni zao.
Kwa hiyo wewe na huyo niliyemjibu mnaona suluhu ni kuruhusu waoelewe wadogo, sio?

Mimi nafikiri uislam hauna tatizo bali waislam wenyewe ndiyo wapuuzi ama kwa makusudi tu au matamanio yaliyojificha ndani yao baadhi. Tumepewa akili lakini hatutaki kuzitumia.
 
Huyo jamaa anayetembea na mtoto ni mbakaji sio danga.
Haaa mkuu mbona kama vile unajifanya mgeni hapa nchini?
Yaani kwa sasa mabinti wa miaka 14 wanajua kila aina ya staili ya kufanya ngono tena na watu wazima wenye familia zao.
Kwa sasa ni ngumu kukuta binti wa miaka 14 hajafanya ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…