BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Hiv izo jamii mnazoish nyie ambapo watoto wa miaka 6 mpk 16 ni mapepe na machachari ni wap uko ase?!!

Na je, ktk hali iyo nani wa kulaumiwa?!!

Ni bila kuficha huu sheria imewekwa kwa watoto wanaotokea ktk familia maskini,napata picha uende kwa shehe wakishua utake kumuoa binti yake wa 16,asee anaweza kukula kinyeo

Sasa ndo kusema imekosekana njia nzur either ya kimalezi ama kijamii ya kuwasaidia hawa watoto kufika umri wa kiserikali wa kuolewa?!!
 
Sisapoti binti mdogo kufanya ngono, ila kuna tofauti Kati ya kufanya ngono na kuwa mke wa mtu…kuwa mke wa mtu kuna majukumu mengi kuliko kufanya hicho kitendo….mtoto anaeza kuhimili kitendo lakini sio majukumu ya ndoa na familia na swala la uzazi kwa ujumla
Kuhusu suala la kuzaa nakupiga kwa sasabu sasa hivi mtaani kuna rundo la mabinti wadogo wa miaka 13 na 14 wamezalishwa na kutelekezwa lakini afya zao ziko salama.

Suala la majukumu ni suala mtambuka sana haliangalii umri wa mtu aliyeko kwenye ndoa.
Bibi zetu na mama zetu walikuwa wanaolewa wakiwa wadogo lakini waliweza kubeba majukumu ya kuwa wake na wazazi wazuri na ndo wametulea na kutufanya kuwa kizazi bora.

Lakini sasa hivi watu mnaolewa mkiwa watu wazima na elimu zenu lakini vichwani ni zero linapo kuja suala la kubeba majukumu kama mke na mzazi.
 
Unamaanisha watoto wote wamalizao la Saba huenda sekondari?
Hata kama hajaenda sekondari bado kwa umri ule anakuwa treated kama mwanafunzi ma sio mwananchi

Na ndio maana serikali inajaribu kuweka mfumo rahisi wa kuwapunguzia vikwazo vya ufaulu kuwafanya watoto waendelee kuwapo shuleni
 
Naona watu wamecharuka. Kwani kasema ni lazima kuolewa yule mwenye miaka 14? Kilichosemwa ni inaruhusiwa. Tena sio kuolewa tu hata kuoa.

Kaongea ukweli ambao kuna watu watauona ni mchungu kwa sababu ya namna walivyokuwa brainwashed tokea utotoni (halafu wao ndio huona waliobaki katika asili ndio wako brainwashed). Ni ukweli kuwa katika Uislam, binti anaweza kuolewa baada ya kuvunja ungo na kijana anaweza kuoa baada ya kubaleghe tu. Hiki kitu hakijakatazwa katika DINI YOYOTE ILE (nimeandika kwa msisitizo asitokee mtu akajifanya anautukana Uislam) na wala hakiendi kinyume na maumbile.

Kusema kuwa kuoa/kuolewa ni lazima ufike miaka 18 au zaidi ni watu wamejitungia tu miaka hii.

Na wala elimu sio kizuizi cha kuolewa/kuoa. Binti anaweza kuolewa na akabaki kwao kwa wazazi wake anaendelea kusoma mpaka anamaliza na kijana hivyo hivyo. Vijana wanaweza kuozeshwa mapema na wakabaki kwa wazazi wao kama ni kusoma na wakaja kukutanishwa baadae.

Basi tu Jamii zetu zimevurugika inaonekana ajabu. Binti anakwenda chuo, akitaka kuolewa mzazi hataki ila akizalishwa na mafedhuli ataona kawaida kabisa na atalea mjukuu ili binti yake aendelee kusoma au kijana akimtia mimba mtoto wa watu mzazi ataona kawaida kabisa ila akitaka kuoa ni vita. Elimu sio kizuizi cha kuoa au kuolewa.
 
YAANI NAMUANGALIA HAPA HUYU BINTI YANGU WA FORM ONE ETI NDIO AOLEWE!!!!!

KUNA WATU WASHENZI KWELI KWELI.

WE FaizaFoxy UKO RADHI KUMUOZA BINTI YAKO AKAFOKONYOLEWE NA WAHUNI AU UNAMTETEA MUDI TU HAPA?

MAANA MUDI ALIKUWA BINGWA WA KUBAKA VITOTO VICHANGA.
 
Ila kufanya naye ngono na kumpa mimba na kumtelekeza ni sawa sio?
hayo umeandika wewe hapa sasa hivi naona unahamisha mpira tatizo hujaelewa sijui kwa nini umekimbilia kujibu ujinga
 
Wewe umeona mzazi gani au mwanajamii gani anafurahia au anahamasisha mwanae afanye ngono? Tena jamii za Pwani ndiyo zinawa expose na kuwajengea mazingira ya ngono watoto kwa tamaduni zao.
Kwa hiyo wewe na huyo niliyemjibu mnaona suluhu ni kuruhusu waoelewe wadogo, sio?

Mimi nafikiri uislam hauna tatizo bali waislam wenyewe ndiyo wapuuzi ama kwa makusudi tu au matamanio yaliyojificha ndani yao baadhi. Tumepewa akili lakini hatutaki kuzitumia.
Sasa kama binti hasomi ana kaa nyumbani unamzuia kuolewa ili aje akuletee mimba nyumbani ?

Hata nchi iliyo endelea kama Japan miaka 14 sheria zao zinaruhusu aolewe.
 
Naona watu wamecharuka. Kwani kasema ni lazima kuolewa yule mwenye miaka 14? Kilichosemwa ni inaruhusiwa. Tena sio kuolewa tu hata kuoa.

Kaongea ukweli ambao kuna watu watauona ni mchungu kwa sababu ya namna walivyokuwa brainwashed tokea utotoni (halafu wao ndio huona waliobaki katika asili ndio wako brainwashed). Ni ukweli kuwa katika Uislam, binti anaweza kuolewa baada ya kuvunja ungo na kijana anaweza kuoa baada ya kubaleghe tu. Hiki kitu hakijakatazwa katika DINI YOYOTE ILE (nimeandika kwa msisitizo asitokee akajifanya anautukana Uislam) na wala hakiendi kinyume na maumbile.

Kusema kuwa kuoa/kuolewa ni lazima ufike miaka 18 au zaidi ni watu wamejitungia tu miaka hii.

Na wala elimu sio kizuizi cha kuolewa/kuoa. Binti anaweza kuolewa na akabaki kwao kwa wazazi wake anaendelea kusoma mpaka anamaliza na kijana hivyo hivyo. Vijana wanaweza kuozeshwa mapema na wakabaki kwa wazazi wao kama ni kusoma na wakaja kukutanishwa baadae.

Basi tu Jamii zetu zimevurugika inaonekana ajabu. Binti anakwenda chuo, akitaka kuolewa mzazi hataki ila akizalishwa na mafedhuli ataona kawaida kabisa na atalea mjukuu ili binti yake aendelee kusoma au kijana akimtia mimba mtoto wa watu mzazi ataona kawaida kabisa ila akitaka kuoa ni vita. Elimu sio kizuizi cha kuoa au kuolewa.

Bro binti yako wa miaka 14 akisema anataka kuolewa, utamkubalia??
 
Kuhusu suala la kuzaa nakupiga kwa sasabu sasa hivi mtaani kuna rundo la mabinti wadogo wa miaka 13 na 14 wamezalishwa na kutelekezwa lakini afya zao ziko salama.

Suala la majukumu ni suala mtambuka sana haliangalii umri wa mtu aliyeko kwenye ndoa.
Bibi zetu na mama zetu walikuwa wanaolewa wakiwa wadogo lakini waliweza kubeba majukumu ya kuwa wake na wazazi wazuri na ndo wametulea na kutufanya kuwa kizazi bora.

Lakini sasa hivi watu mnaolewa mkiwa watu wazima na elimu zenu lakini vichwani ni zero linapo kuja suala la kubeba majukumu kama mke na mzazi.
afya za mwili zinaeza kuwa salama lakini sio afya ya akili…kumpa mtoto mdogo majukumu makubwa ni kumtesa kimwili na kiakili
 
Naona watu wamecharuka. Kwani kasema ni lazima kuolewa yule mwenye miaka 14? Kilichosemwa ni inaruhusiwa. Tena sio kuolewa tu hata kuoa.

Kaongea ukweli ambao kuna watu watauona ni mchungu kwa sababu ya namna walivyokuwa brainwashed tokea utotoni (halafu wao ndio huona waliobaki katika asili ndio wako brainwashed). Ni ukweli kuwa katika Uislam, binti anaweza kuolewa baada ya kuvunja ungo na kijana anaweza kuoa baada ya kubaleghe tu. Hiki kitu hakijakatazwa katika DINI YOYOTE ILE (nimeandika kwa msisitizo asitokee akajifanya anautukana Uislam) na wala hakiendi kinyume na maumbile.

Kusema kuwa kuoa/kuolewa ni lazima ufike miaka 18 au zaidi ni watu wamejitungia tu miaka hii.

Na wala elimu sio kizuizi cha kuolewa/kuoa. Binti anaweza kuolewa na akabaki kwao kwa wazazi wake anaendelea kusoma mpaka anamaliza na kijana hivyo hivyo. Vijana wanaweza kuozeshwa mapema na wakabaki kwa wazazi wao kama ni kusoma na wakaja kukutanishwa baadae.

Basi tu Jamii zetu zimevurugika inaonekana ajabu. Binti anakwenda chuo, akitaka kuolewa mzazi hataki ila akizalishwa na mafedhuli ataona kawaida kabisa na atalea mjukuu ili binti yake aendelee kusoma au kijana akimtia mimba mtoto wa watu mzazi ataona kawaida kabisa ila akitaka kuoa ni vita. Elimu sio kizuizi cha kuoa au kuolewa.
HUU NI UJINGA UMEANDIKA.

KUVUNJA UNGO SIO TIKETI YA MOJA KWA MOJA YA KUOLEWA.

KUNA MASWALA KADHAA PIA YA KUYAZINGATIA KAMA VILE UKOMAVU WA AKILI, UKOMAVU WA VIA VYA UZAZI, PAMOJA NA MADHARA YA KIAFYA KAMA FISTULA NA MATATIZO KATIKA KUJIFUNGUA IKIWEMO UPASUAJI NK.

HUU UJINGA ALIOWALISHA YULE MBAKAJI MUDI UNAWAHARIBU UBONGO?

YOU DON'T SEEM TO HAVE A RATIONAL MIND.
 
Hata kama hawasomi bado wapo chini ya uangalizi wa wazazi na bado tunawahesabu kama watoto, swalq la kuolewa wasubiriwe mpaka wafikishe umri unaostahili
Binti akisha vunja ungo huyo tiyari anakuwa amesha kuwa mtu mzima na mwili wake unaanza kuwa na matamanio.

Utanzuia asiolewe lakini atakuwa analiwa na wahuni huko mtaani mwisho watampa mimba na wamkimbie sasa hapo utakuwa umesaidia nn?
Na hii sheria haipo Tz tu nchi nyingi zinaruhusu binti wa miaka 14 kuolewa iwapo atataka yy kwa lidhaa yake.
 
unajua risks za kiafya za mtoto huyo kuolewa hata kama hasomi? Embu tuache kuendekeza ujinga in the name of dini
Nyinyi mnao olewa mkiwa wakubwa mbona ndoa zinawashinda?
 
Kuna wakati waislam wanakuaga wajinga sana sana.

Yaan uoe mtoto wa miaka 14 ?? Wee ni mbakaji tu kama wabakaji wengine.

Alafu umuache akiwa na miaka 16? Unatofauti gan na wabagaji?.

Waislam acheni ujingaaa !!.
Lakini hiyo ni sheria ya nchi.
 
Nyie kubalini watoto wenu waolewe katika umri huo alafu baadaye mje mseme mnataka haki sawa na Wanaume ambao wakati watoto zenu wanaolewa wao wanakuwa wanaendelea kubukua kitabu kuzitafuta Masters degree na PhD.

Na mzazi atakayekubali Binti yake wa miaka 14 kuolewa atakuwa Lofa mkubwa [emoji35]
Mnaumizwa na Ndoa za Umri mdogo kuliko mnavyoguswa na Mapenzi ya jinsia moja
 
Back
Top Bottom