Ball Possession Simba 62%-38% Yanga; unabondwa huku ukinyongwa

Bwashee Pole sana , sisi tunabonda tuπŸ˜…
Mechi 10
Yanga win 6
Simba wi 2
Draw ..........2.
Sasa hapa mm Wala siwezi kuumia kabisaπŸ˜….. ntaumia kufungwa na simba endapo itatufunga mara 7 mfulilizo ila hii mara Moja Moja ni kawaida na sehemu ya mpira... Sisi tuliwafunga na kuwafanyia tunachotaka....
 
Pira sambusa , pira biriyani, pira Barcelona, sex & romantic football 🀣🀣🀣
 
Ni bora ungeruhusu machozi yatoke na sio kujifariji baadae uvujie damu ndani kwa ndani
 
Kama jana ingeisha na matokeo yale yale ya kipindi cha kwanza basi saiv arajiga angekua atukanwa vibaya,ungesikia goli la yanga lilikua offside,mara wamenyimwa penalt,mara kangwanda alistahili kadi nyekundu lakini kwakua wameshinda kelele zote hizo husikii
 
Pira sambusa , pira biriyani, pira Barcelona, sex & romantic football 🀣🀣🀣
Mgumba kapata mimba ...malizia sasa na wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸƒ
 
Mali ile bwashee, haukuona kakabwa na ma utopolo matano?
Niliona bwashee, Ile ni mali sema inahitaji uvumilivu mkubwa, inaonekana gari yake inawaka kwa kuchelewa ila likiwaka hayo magoli atakayofunga tutabaki midomo wazi

NB: msimu uliopita alikuwa mfungaji bora wa ligi ya huko kwao
 
Mno , hata lisipofunga teka tunalo bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…