Ball Possession Simba 62%-38% Yanga; unabondwa huku ukinyongwa

Ni bora ungeruhusu machozi yatoke na sio kujifariji baadae uvujie damu ndani kwa ndani
Vijana mliohamasishwa kupenda mpira na manara ndio mnaliaga ?. πŸ˜… Wewe ulilia mara ngapi kufungwa na yanga ?
 
Vijana mliohamasishwa kupenda mpira na manara ndio mnaliaga ?. πŸ˜… Wewe ulilia mara ngapi kufungwa na yanga ?
Mimi ni mzee shekhe wangu! Kina manara unaowasema hata kiumri hawanipati nawewe hapo ni mjukuu wangu kabisa kwa hiyo huwezi kunipa record ya juzi hapa kuhusu derby
 
Mpaka umepagawa eti round ya 6.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yanga hajawahi kumfunga Simba halafu wakacheza mpira mkubwa kiasi hiki alichochezewa na Simba.

Ukibisha lete takwimu kama hizi zilizowekwa hapa.

Yanga kazidiwa kila kitu. On target, possession, passes accuracy, man to man battle na kila kitu.

Lete hata ball possession na shots on targets ambayo Yanga alimfunga Simba kwa possession ya zaidi ya 62% total dominance kwenye both first and second halves.
 
Mimi ni mzee shekhe wangu! Kina manara unaowasema hata kiumri hawanipati nawewe hapo ni mjukuu wangu kabisa kwa hiyo huwezi kunipa record ya juzi hapa kuhusu derby
Mzee anaweka avatar ya olmo badala ya kina Bagio/Pele/Dunga?. Huo uzee wako umeanza kufuatilia mpira kwa hamasa ya manara?. πŸ€£πŸƒ
 
Ndio tumeanza sasa! Anza kuhesabu!
 
Nimeweka picha olmo kwa sababu nilikutana nae german tukaongea sana kika cataluna kuweka hiyo picha nina tafsiri zangu mkuu
 
Magungu sio msaliti tena 🀣...
Hakuna Simba mwenye akili timamu ashawahi kuongea hivyo na ndio maana alishinda kwa kishindo second term. Unafikiri alipigiwa kura na Vyuta! Ahahahahaha!
By the way, nasikia jana Manara alikutwa chooni anashangalia ushindi wa Simba! Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…