Ball Possession Simba 62%-38% Yanga; unabondwa huku ukinyongwa

Unaambiwa wachezaji wote wa simba walipiga nyeto lisaa limoja kabla ya mechi ili wawe timamu kimwili na kiroho πŸ”₯
Badala ya kucheki game ya simba na yanga , simba wakaona watuletee chudai🀣
 
Kocha ana roho mbaya sanaa..baada ya kuona miguu ya uto imekuwa kama jojo akaamua kumuamsha Kelesto..ile mikimbio ni balaa
 
Hakika mtani jana ameubonda mwingi sana. Falsafa ya kocha wetu sijaielewa na tulistahili kipigo
 
Panauma wapiiii?? Hiki kilio sio cha kawaida kabisaaa.
Arajiga ni tatizo, mbona hakumpa red card Kangwanda?? Dkk za mwisho akawa anataka kuwatafutia yanga wasawazisheee??
Weweeee!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Arajiga ni tatizo Sana TU.
Ila sema alipewa onyo mapema Sana kwamba ya Kenya yanaweza kumfika
Alionywa kua watu uvumilivu umefika mwisho.
Hata Jana bado alikua anataka kuketa ujinga,ila bahati yake.
Simba imekua ikifungwa na yanga kwa mipango ya nje ya uwanja.
Mfano goli la Selemani mwalimu huko znz hata bodi ya ligi walilikubali na mwamuzi kupewa adhabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…