Ball Possession Simba 62%-38% Yanga; unabondwa huku ukinyongwa

Salamu ziwafikie nyote
 

Attachments

  • FB_IMG_1791439986490.jpg
    87.3 KB · Views: 10
Waliozoea kunyanyasika siku walipata upenyo wanasherekea balaa... Jana nashukuru nimekula bure mbumbusu ya simba 😅🏃
Sukari inapanda hiyo, leo hospital hakuna huduma ya dialysis, shauri yako, wee haya tu
😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂
Sisi tunabondaaa huku tunanyongaaaaaaaaaa.
 
Arajiga ni yanga, kangwanda kasamehewa kadi nyekundu, lile bao la Shasha ingekua kwa Simba ni offside, dkk za mwisho akawa anataka kuwatafutia yanga wasawazishe.
Weeeeee??? Wapiiiiii? 😂😂😂😂😂
 
Tuongelee game ya jana....,uktkia ivo rudi misimu 8 nyuma,
 
Hii ndo simba ikiwa Haijalogwa.. 🤣
 

Hizi goli 5 Yanga walishapigwa Sana na Simba halafu fuatilia rekodi toka 2005-2010 Yanga hakuwahi kumfunga Simba so huna jipya
 
Hata warudiane mara 10,kama Simba akicheza kama alivyocheza jana,Yanga akijitahidi sana labda sare. Niulize kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…