THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,228
- 2,036
Mimi Binafsi Carlos The Jackal , Kwa namna ninavyomjua Mzee Wasira .
Mzee ambaye Roho yake imejaa Uchu wa Madaraka.
Pale Bunda Mzee Wasira Enzi za uchaguzi alikua akitenda Matukio ya kikatili sana dhidi ya Washindani wake Ndani ya CCM.
Aliwahi Hadi kumpiga Kipigo mshindani wake
Ni Wassira huyuhuyu aliyekimbizana na Akina Esther Mahakaman kisa Ubunge!.
Mzee huyu Wassira sahizi pale kamchomekea KIJANA wake Ubunge .
ITOSHE KUSEMA, MZEE WASSIRA NI WAZEE WA AJABU SAN NCHI HII, HUWEZI KUMUWEKA BUS MOJA NA AKINA MZEE WARIOBA, MZEE BUTIKU !!.
mtaalamu wassira - alisema mtoto wa nyerereEnzi za Mwal. yupo
Enzi za Mwinyi yupo
Enzi za Mkapa yupo
Enzi za J.K yupo
Enzi za JPM yupo
Enzi za SSH yupo
Tanzania nchi yangu!!!!
Loading..... Hahaha.
Kile kifo hakikuwa cha natural.Kikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Pengine yeye hajui kama anahujumiwa.Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?
Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!
Hoja ya kijinga Sana hii.
Tafadhali ndugu Sir John Roberts naomba kipande cha video Rais Samia akiongelea kuwa na "bosi".Alimuona anataka kumpanda kichwani kama anavyompanda Samia. Magufuli alivoingia alifanya ambayo wanamtandao hawakuyatarajia. Walidhani atakua mwenzao.
We hushangai leo Samia anajitam ulisha kuwa nae ana bossi wake ambaye ni Kikwete hivi nchi hii Kuna boss kumzidi Rais?
Fisadi Papa.Loading..... Hahaha.
Hii ni kama alikua anatuma massage kwa wananchi ki Spy sana sema wananchi hawakuelewaKwenye uzinduzi wa hema alisema ameandamana na "boss" wake.
Kwani stori imebadilika au kahackiwa?Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Anaweza kuwa sahihi lakini kipindi yuko kundi la watesaji akina Jiwe hakuweza kusema haya. Binafsi simwamini aliyepo na wala siwaamini Sukuma gangKikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Mahesabu yapi?Kuna mahesabu yamekosewa na ndio huenda yakawa gharama kwao. One mistake one goal
Nitazungumza mwa fumbo.. kama upo tayari.. ipo hivi.. mwanzo.. kuna line ya watu wa mama na kuna bibo mmoja mshaghuli kweli, na ndani kuna kiti, alikuwa amekaa mtu.. wale na kiongozo bibi walitaka agenda kumtoa mtu, na yule mtu akategewa katoto akale mzigo ili kumtoa nguvu ikawa hovyoo.. kiti kikawa kitupu.. ikapita kaita wakuu wawili ila mkuu mmoja anakuwa feeding na wakuu wawili hataki kujichanganya nao..then wamendaandaa kitu ghafla simuoniMahesabu yapi?
Duuuh ayaNitazungumza mwa fumbo.. kama upo tayari.. ipo hivi.. mwanzo.. kuna line ya watu wa mama na kuna bibo mmoja mshaghuli kweli, na ndani kuna kiti, alikuwa amekaa mtu.. wale na kiongozo bibi walitaka agenda kumtoa mtu, na yule mtu akategewa katoto akale mzigo ili kumtoa nguvu ikawa hovyoo.. kiti kikawa kitupu.. ikapita kaita wakuu wawili ila mkuu mmoja anakuwa feeding na wakuu wawili hataki kujichanganya nao..then wamendaandaa kitu ghafla simuoni