Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
aLiona walichomfanya magu,kwahyo lazima aufyate sahv,afanye kile wanamtandao wanatakaWahuni siyo watu wazuri hata kidogo! Sijui wamemlisha nini Bibi yetu wa Kizimkazi. Maana hasikii, haoni, haelewi!!
Facebook imefungwa toka jana mpaka sahv,serikali wanaogopa sanaWiki ijayo tutasikia mazito. Polepole amewaahidi watanzania kumwaga Siri zote hadharani. Walimuhujumu Magufuli na kumuuwa sasa ni wakati wa watanzania kusikia ukweli.
Awe makini wasije wakamteka na kumbaka.Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Yhwanamaanisha atakayetangazwa mshindi hatotawala?
Vipo vikundi vitatu lipo kundi la marehemu akina magufuli walipo akina Bashiru na wenzao na lipo kundi la kikwete walimo January makamba Nape na wenzao na lipo kundi la mama ambao ni akina Nchimbi wasira mwigulu na wenzaoMengi yapo na mabaya yanatakiwa kudhibitiwa. Nchi inataka kutekwa na kundi la majambazi. Kikwete and His companions
We unaona likiwezekana hilo mkuu?
Sina shida hata kama ukisema uongoUongo
Tatizo WaTanganyika ni wagumu kuelewa na wepesi kusahauKatika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Inavoonekana kajipanga na hayuko peke yakeAwe makini wasije wakamteka na kumbaka.
Bila shakaWe unaona likiwezekana hilo mkuu?
Watu wakishachoka hata ufungie kitu gani hautafanikiwa.Facebook imefungwa toka jana mpaka sahv,serikali wanaogopa sana
Dah Na jamaa alivyokuwa mpoleAwe makini wasije wakamteka na kumbaka.
Sawa mkuu.Bila shaka
Tanzania ipo kwenye mchakato wa kuzaliwa upya
2027 Tanzania itakuwa halisi
Ss hv Mungu anaanza kubomoa misingi ya kishetani
Na amesema amesikia vilio vya Watanzania
Jiheshimu TafadhaliWewe mlamba makalio ya makada na ww umegeukwa?
Tusubiri mkuuHata mimi hiki kitu kinanifikirisha sana kujiuliza je ana kinga gani?
Ujasiri wa kuachia ubalozi na kuamua kuongea mambo haya sinwa kawaida. InafikirishaYeye mwenyewe layman asijitukuze akajipa ukuu ambao hana.
Hakuna mambo ya sirini tenaUmbea wa mitaani umeshika hatamu
Ndio na Kuiombea NchiSawa mkuu.
Kwa hiyo sisi wsnanchi tutulie tu, mambo mazuri yanakuja?