Sasa Mbatia kajipekeka mwenyewe ohhh nataka kuongea na balozi ulitaka balozi asemaje?
He just enjoyed the talk. Mwingine aende balozi aka enjoy the talk!!!
Hata mimi niliwaza hiyo kitu sikupata picha jiwe na lissu sijui kama pangetosha..Kumbe ni mmoja mmoja, that's fine, nilianza kuimagine hapa Lissu, pale bwana yule mbona kusingekalika.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Leaders wa political parties pia wako maelfu kuna mfano ACT wazalendo kuna mkuu wa Chama zitto Kabwe kuna mwenyekiti Maalim Seif kuna makatibu wakuu wa Chama makamu wenyeviti nk kuna maelfu ya party leadersEti balozi ana IQ ndogo, statement iko very clear βI hope to meet with candidates and leaders from ALL PARTIESβ, mwenye IQ ndogo kama yako atafikiri anataka kukutana na wagombea udiwani wa vyama vyote hata wagombea ubunge tu haiwezekani kwa sababu wako maelfu.
mkuu Tumia akili hata kidogo basiHow can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
people used to die in the lake atazungumza nn jamanYule bwana haendi kwasababu course yake pale kwa Rasi simba aliambiwa lazima akazaliwe upya ulaya
Targeted nadhani ni mmoja.Kumbe ni mmoja mmoja, that's fine, nilianza kuimagine hapa Lissu, pale bwana yule mbona kusingekalika.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Hilo bogas kabisaMama Tanzania, hii nchi yetu Ina shida sana
Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kit
Targeted nadhani ni mmoja.
Aliifukuza na nini, kama umekosa cha kuandika jaa kimyaSafi kabisa balozi yupo safe hakuna cha mask wala distance. Viva Magufuli kuifukuza corona Tanzania
Tatizo lugha kwa ccmagu naweza kukacha huyu...
Kama huielewi achana nayo waache walioielewa, why bother.Leaders wa political parties pia wako maelfu kuna mfano ACT wazalendo kuna mkuu wa Chama zitto Kabwe kuna mwenyekiti Maalim Seif kuna makatibu wakuu wa Chama makamu wenyeviti nk kuna maelfu ya party leaders
Candidates hao ndio usiseme kuna maelfu kuanzia wagombea uraisi,wagombea ubunge kama Mbatia wagombea udiwani ni maelfu wepi anaongelea? Hayuko specific kutokana na Low IQ aliandika alichokielewa yeye binafsi lakini kisichoeleweka kwa audience!!!! His message is only understandable by only himself and may be by his girlfriend if he has kwa kiingereza cha kuunga unga
Huko kukuzidi Uchumi ndo kunamfanya awe Master wako.Kwani we unafikiri unaweza kuifanya nini US?Nchi nyingi tu zinapiga magoti pale itakuwa hako ka nchi kako uchwara!How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
Aliifukuza na nini, kama umekosa cha kuandika jaa kimya
Hangover yako ikiisha rudia kusoma ulichoandika kama hujajinasa kibaoHow can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
Hivi magufuli kafukuzaje corona mkuu